Huyu ni diamond kweli?bhasii hakika jamaa amefika ukingoni!!

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,597
2,000
naomba ni declare kwamba mm ni shabiki lialia wa mwanamziki nguli nchini diamond platinium ..kuanzi mbagala,nenda kamwambie,moyo wangu,nataka kulewa,kitoronto,..nimekuwa die fan wake...ila thatha naona nianze kujianda psychologically ..kupotea kwa huyu bwana daaaah yanii ubunifu umekuwa zero,melody mbovu amebakia kuomba huruma za video na viuno vya iyobo.nyimbo zake mbili za leo fire na i miss you zime mchimbia kaburi ramsi..zile si level za diamond ninaye mjua ni level za marombo,asley,dogo janja,,hakika ni masikitiko makubwa kumpoteza msanii naye mpenda kuliko wote
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,515
2,000
Kwa hiyo kwa kurusha uzi wako kwenye post ya jukwaa la siasa unataka awe mwanasiasa au!?

Nyimbo kazipiga na video ni bombaaaa.

Inabidi uche wivu wa kutaka aanguke, hata akiacha kuimba ana biashara nyingiii zitamuweka mjini.

Na waimbaji upiga pozi, kwa yeye bado ndio nyota ya taifa analitangaza na tunamuombea azidi kuendelea.
 
siasa ni maisha yanayo jumuisha muziki pia samahani kama nimekukera ila ulikuwa mtazamo wango kam die fan wake
 
Nonpartisan

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
281
250
naomba ni declare kwamba mm ni shabiki lialia wa mwanamziki nguli nchini diamond platinium ..kuanzi mbagala,nenda kamwambie,moyo wangu,nataka kulewa,kitoronto,..nimekuwa die fan wake...ila thatha naona nianze kujianda psychologically ..kupotea kwa huyu bwana daaaah yanii ubunifu umekuwa zero,melody mbovu amebakia kuomba huruma za video na viuno vya iyobo.nyimbo zake mbili za leo fire na i miss you zime mchimbia kaburi ramsi..zile si level za diamond ninaye mjua ni level za marombo,asley,dogo janja,,hakika ni masikitiko makubwa kumpoteza msanii naye mpenda kuliko wote
Nigga whats your creativity? negative mf talking shit in private social network
Go to diamond page in instagram and tell him direct like a real man. Punk broke niggers judge other people life while going to bed hungry.
Peace
 
dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
2,535
2,000
Diamond anatakiawa a change sometimes km akina davido na wizkidayo sio kila siku vigoma vile vile uimbaji ule ule video zile zile by the huu uzi sio mahala pake hapa jombaaa
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
4,696
2,000
naomba ni declare kwamba mm ni shabiki lialia wa mwanamziki nguli nchini diamond platinium ..kuanzi mbagala,nenda kamwambie,moyo wangu,nataka kulewa,kitoronto,..nimekuwa die fan wake...ila thatha naona nianze kujianda psychologically ..kupotea kwa huyu bwana daaaah yanii ubunifu umekuwa zero,melody mbovu amebakia kuomba huruma za video na viuno vya iyobo.nyimbo zake mbili za leo fire na i miss you zime mchimbia kaburi ramsi..zile si level za diamond ninaye mjua ni level za marombo,asley,dogo janja,,hakika ni masikitiko makubwa kumpoteza msanii naye mpenda kuliko wote

Umekosea kusema kuwa Diamond ni mwanamuziki.....yule si mmwanamuziki ni msanii tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom