1. Steve James
Huyu jamaa aliwakilisha vyema kwenye muvi nyingi za mapigano na vita. Mojawapo ni muvi ya American Ninja akiigiza na mastaa wengine kama David Bradley pamoja na Michael Dudikorf...
Siku hizi nashindwa kulala kisa season yaani nakesha usiku kucha naangalia series tuuuuu.
sio kama zamani wakati soko la bongo movie lilivyo tamba.
hivi tatizo ni nini au na wewe upo hivyo?
Kutoka mwaka 2010 hadi 2012 kulitokea harakati iliyoasisiwa na Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu. Harakati hii ilisadikiwa ilitokana na uhasama binafsi wa sugu vs clouds, dhana ya pili ni kuwa...
Naomba kufaam huyu mtu mwenye ngozi mithili ya minofu raini ya samaki,nazionaga tu picha zao hawa watu wa dizaini hii wapo kweli ama ndo picha za kubuni za hawa wazungu?,ama kuna jambo lililo...
Sina u team kwenye mafanikio ya mtu na wala hayanisaidii. Lakini mtu anapofanya jambi jema na la kupongezwa inabidi apongezwe. Amekuwa msanii ambaye amelata mageuzi makubwa katik tasnia ya sanaa...
1.The jets_make it real
2.Lionel Richie_I call it love
3.roxette_it must have been love
4.roxette_listen to your heart
5.Cindy luper_time after time
6.air supply_making out of love
7.the...
Habarini ndugu zangu, napenda kujua hasa ni kipi cha kufanya au ni taratibu zipi ama njia salama za kupitia kabla ya kufanya video cover ya nyimbo ya msanii yeyote yule hapa Tanzania?
Mwenye...
Jaman wana jf anaejua ile movie ya nigeria inayorushwa itv kila jpili usiku kuanzia saa tatu na nusu usiku inaitwaje naombeni anambie. Aniambie na website ya kuipata. Movie yenyewe ipo ivi jamaa...
Habarini wana Jf,
Majuzi tcra walitangaza kuwa makampuni yote ya ving'amuzi tz yanatakiwa yasizilipishe zile 5 local channels..
Sasa leo decorder yangu imekaza vyuma...,nikajaribu kupekua local...
Salama ndugu humu!?
Kiukweli naupenda wimbo Wa Hussein Jumbe uitwao "Siri" lakini kijana Rayvan Wa WCB ameufanyia marudio kwa maboresho ya kisasa na nimejikuta nikiupenda zaidi kuliko ule Wa...
Wanajamvi, Kuna wakati unaangalia movie kuanzia mwanzo lakini huielewi, unajaribu kuendelea kuitazama kwa matumaini kuwa utaielewa lakini hadi inaisha unajikuta hujaielewa,
Tupia hapa jina la...
Nisiwachoshe kwa maneno, ila nilikua sifwatilii sana mziki wa bongo baada ya kuona hamna jipya, leo katika pita pita mitandaoni nikakutana na huu wimbo... wa ben pol unaitwa bado kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.