Music: Anita by Matonya ft JD

Aniita aaa,
Anita wangu uuu,
leleliele leee,
eh sukuma sukuma,
ili siku ziendee,
urudi nyumbani,
tuishi pamoja.

Matonya:
Nasikia mazoea yanatabu,
leo ndio naaminiii,
Tangu uondoke Anita raha nakosa mimi,
Ukumbuka tulilishana yamini,
kwamba mimi na wewe
maisha milele mpaka nafukiwa chini,
Ni mawazo yanautesa moyo wangu,
Anita nieleweee,
Natamani uyajue iliii unilinde mimi,
Sijajua uliwaza nini kuwa mbali na mimi,
Hata hilo nilijue ili nisaishe mimi,
Kama ni maradhiii, mimi ndio wako nakitari,
Unambie mapema ili dawa yake niijueee,
Kama ni waradhii iiiiiie.


Anitaaaaa
Aniita aaa,
Anita wangu uuu,
leleliele leee,
eh sukuma sukuma,
ili siku ziendee,
urudi nyumbani,
tuishi pamoja.

Jay dee.

Unajue nilikupenda zaidiiii,
ila ya dunia weee, yalikuzidiii,
Nilitamani kuwa nawe zaidiii,
kuliko yoyoteee, unaemzanii,
siku zote upo safarini, kuniacha mimi mpekwee,mimi nilikupenda sana wewe mpenzi,
Je kweli unataka kunienziiiiiiii, au unataka kunitia maaaashaakani.

Matonya:

Siku zote nipo kama chizi, njiani naongea, hiyo yote sababu yako anita kilio pokeaa,
chifu na majirani mtaani wanakuulizia,
sina la kuwajibu nabaki kama chichi najililia,
Waliniambia nikuache wewe, ili mimi niishi mwenyewe,
Masikio nikaziiba, vipi niishi bila wewe,
Wakasema hutonisamini, wala haikuniingia akilini,Gozi, gita wakapiga jua wewe ndio wamaishani,
Anita wewe umeumbika mama, kila upitapo nyuma malawama, sijiwezi mtoto wa kitanga, kwako taabani nimeshamwaga manyanga.

Anita wewe umeumbika mama, kila upitapo nyuma malawama, sijiwezi mtoto wa kitanga, kwako taabaniiiiiii.

Aniita aaa,
Anita wangu uuu,
leleliele leee,
eh sukuma sukuma,
ili siku ziendee,
urudi nyumbani,
tuishi pamoja.
 
tonya yupo juu jamani,pembeni namuona mr blue basi kazi imeisha.naomba hawa jamaa wafanye collabo moja,50 akitua TZ naomba muombe ft,inakuwa kama ridin' ya Joe na G Unit vle
 
marlaw is the best, the guy got talent, napenda melody za nyimbo zake always wicked!
 
Heshima mbele, kwa kusiliza na kuangalia shooting zao kweli kabisa wanafanya kazi nzuri. Ila mi nina maoni yafuatayo....
1. Wajitahidi sana kuwa kama wao (computerized voice) sio ya kutegemea sana maana siku ukihudhuria show zao nakwambia utachoka kusikia msanii alivyo na sauti tofauti na vile wamsikia kwa cd
2. Wajaribu kutunga nyimbo zenye mtazamo wa kimataifa, 4get about English maana kuna nchi zingine kiingeleza hawazungumzi ila nyimbo zao zina kubalika sana pahala pengi duniani
3. Wasanii wetu wengi hawasomi jamani, na ndo maana tungo ni mgogoro, wasome shule angalau form six na kisha waende kwenye vyuo husika vya mziki kama vile bwaga moyo badala ya kukimbilia kunua baloon kwa hela yote ya album ya kwanza. Na uhakika kabisa msanii mwenye elimu musiki, anauwezo wa kutumia japo kifaa kimoja cha muziki.
4. Wakitaka kujulina/kuuza kazi zao sehemu za nje watafute wasanii wa maeneo hayo na kufanya nao kazi (colabo) ila waheshimu sana makubaliano baina yao
5. Mwisho naomba wasanii muwe n aheshima na kazi yenu, hakuna anae ona muziki ni uhuni isipokuwa ninyi ndo mnatoa picha potofu ya usanii.

Haya ni mawazo tu.....

Kwa kheri kwa sasa!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom