Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwangu mimi naanza na bob Marley huwa namuelewa sana Song called "Is This Love" I wanna love you and treat you right I wanna love you every day and every night We'll be together with a roof...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Tangu mwaka uanze sijapata nafasi yakuweza kutulia na kufanya mambo nayopenda pale napopata mda au nafasi hasa siku kama hii. Leo hiyo nafasi nimepata na sasa nipo na chagua nyimbo za kusikiliza...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Ni msaga sumu huyo kapoteza mashabiki weng na mimi nikiwemo baada ya kutoa wimbo wa mwanaume mashine, ikiwa weng hatuna mashine.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenye nyimbo aliyoshirikishwa juma nature jina nimelisahau ila nakumbuka chorus 'Tutoe adhabu gani juu ya hawa wanaoturoga*2, Kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetani, Mwanga anaetutupia majini ni...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu habari...!!kama kawaida wale wapenzi wa series movies hi series ya Vikings tuliokuwa tunaifatilia kuanzia season 1 mpaka sasa kufika season 5 imefikia pazuri sana now ipo epsode ya 8 aisee...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi great thinkers! Someone whispered me that Calvin got luck to talk to Donald Trump. Calvin: Excuse me where is the lobby? Trump: Down the hall to the left. Calvin: Thanks. I"m not good in...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
KOMBORA KIOTANI-34 Kiota cha mapenzi kati ya Dedani na mkewe kilichukuliwa kwa muda kidogo na utamu pamoja na hisia kochokocho zenye fukuto la mahaba kwa muda kidogo hakuna aliyeona sababu...
0 Reactions
1 Replies
961 Views
Wadau nipate wapi wimbo wa Komba mgeni na mambo kwa sox wa Remmy Ongara...nmejaribu mtandaoni holaaa Naomba kuwasilisha
2 Reactions
17 Replies
3K Views
1. Steve James Huyu jamaa aliwakilisha vyema kwenye muvi nyingi za mapigano na vita. Mojawapo ni muvi ya American Ninja akiigiza na mastaa wengine kama David Bradley pamoja na Michael Dudikorf...
2 Reactions
48 Replies
17K Views
Naumia app ya sportpesa... Nimeshashinda mara kibao sijuti. Cha kuzingatia Weka game chache za uhakika.
0 Reactions
4 Replies
894 Views
NAHITAJI WIMBO WA SAIDA KAROLI _PESA INAWASHA PAMOJA NA WIMBO WA MBILIA BEL YAMBA NGAI ..
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Jaman vp nawez pata au kudownload movie ya jumanji ya therock iliyotoka mwaka 2017
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Siku hizi nashindwa kulala kisa season yaani nakesha usiku kucha naangalia series tuuuuu. sio kama zamani wakati soko la bongo movie lilivyo tamba. hivi tatizo ni nini au na wewe upo hivyo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je unadhani ktk Tanzania ya sasa bado kuna wasanii walio kioo cha jamii?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutoka mwaka 2010 hadi 2012 kulitokea harakati iliyoasisiwa na Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu. Harakati hii ilisadikiwa ilitokana na uhasama binafsi wa sugu vs clouds, dhana ya pili ni kuwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ruby anakuja
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kufaam huyu mtu mwenye ngozi mithili ya minofu raini ya samaki,nazionaga tu picha zao hawa watu wa dizaini hii wapo kweli ama ndo picha za kubuni za hawa wazungu?,ama kuna jambo lililo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Sina u team kwenye mafanikio ya mtu na wala hayanisaidii. Lakini mtu anapofanya jambi jema na la kupongezwa inabidi apongezwe. Amekuwa msanii ambaye amelata mageuzi makubwa katik tasnia ya sanaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom