Allan Makaba Vs Dally Kimoko

Allan Makaba Vs Dally Kimoko

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,980
Wale wahenga katika mziki wa Bolingo.... nadhani mtakumbuka enzi zile wazaire walivyoweza kuteka soko la mziki kanda ya nchi za Africa Mashariki,.. Kama vile wanamziki, Koffi, Madilu, Wenge BCBG, Extra, Kanda Bongoma, soukous (group) , awilo na wengine kibao... Lakini pia kulikua na wakali wa guitar,... Sasa leo niwalete kwenu wataalam hawa wawili,.. Allan Makaba Vs Dally Kimoko, ni nani alikua fundi zaidi wa guitar.....
 
Dally Kimoko alikuwa zaidi banaa
 
Dally Ndalla Kimoko ndio mfalme wa guitar la solo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom