TID Behaves Badly in Dubai


Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Likes
26
Points
0
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 26 0
Bongo Flava musician Khalid Salum Mohamed popularly known as TID absconded the desert city of Dubai, UAE unceremoniously leaving an outstanding bill of AED 890 at the hotel where he had been hosted by a music promotion company. The artist had performed as an opening act in Dubai concert during the weekend. He never checked out of his hotel. He packed his bags and went to the airport where he checked in and boarded the KQ flight.

The hotel bill, mainly consisting of alcoholic mini bar items and room services was presented to the police authorities and measures will be taken against the singer.

Reports also state that the artist had been reported to have attempted to rape one of his fans whom he had lured by telling her to sell his music CD’s during the show.....

Eti kweli??

source; UMOJA ENTERTAINMENT
 
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,419
Likes
81
Points
145
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,419 81 145
... may be he's just a rogue bongoflavorer!!
a couple of yrs ago, i hear he did something despicable in States if not similar...
 
Kuntakinte

Kuntakinte

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2007
Messages
704
Likes
5
Points
0
Kuntakinte

Kuntakinte

JF-Expert Member
Joined May 26, 2007
704 5 0
Ha, ha, Niliandika kwenye Michuzi jamaa alivyoharibu UK, Michuzi akabana hakuitoa sasa hivi tena kaharibu Dubai. Ndugu zetu wasanii wanaelekea wapi?

Kama umeamua kuwa mwanamuziki basi kuwa na nidhamu na kazi yako. Uaminifu na Shukran ndio jambo la msingi.
 
Maskni Wa Akili

Maskni Wa Akili

Member
Joined
Mar 19, 2008
Messages
98
Likes
0
Points
0
Maskni Wa Akili

Maskni Wa Akili

Member
Joined Mar 19, 2008
98 0 0
Huyu mtu atakuwa na madeni kila sehemu, Kuanzia Dubai, Mombasa, Nairobi, UK na kwingineko. Sasa akija alikwa tena nchi hizo sijui itakuwaje.
 
a.9784

a.9784

Senior Member
Joined
Feb 19, 2008
Messages
146
Likes
1
Points
0
Age
44
a.9784

a.9784

Senior Member
Joined Feb 19, 2008
146 1 0
Shoo Yake Iliendeshwa Kwa Hasara Ndio Maana Ametoroka Madeni.sasa Kila Sehemu Kama Atakua Na Madeni Ipo Siku Atakosa Sehemu Za Kufanyia Shoo Zake.wasanii Kuweni Makini Na Kazi Zenu,acheni Ubishoo Mnapokua Ugenini.fanyeni Kazi Zilizo Wapeleka Then Rudini Nyumbani Kwenu Mtanue.mtakuja Funwa Ugenini Mkose Watu Wa Kuwadhamini.
 
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Likes
26
Points
0
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 26 0
... may be he's just a rogue bongoflavorer!!
a couple of yrs ago, i hear he did something despicable in States if not similar...
As far as I know hajawahi kukanyaga States.
Having said that,kuna mtu kanitonya kwamba eti kubaka au kung'ang'aniza demu ni aina ya ugonjwa kwa wanaume wengine.
 
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,764
Likes
125
Points
160
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,764 125 160
Si mpaka uende jela au upigwe risasi ndio unakamilika kama hardcore?
 
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,419
Likes
81
Points
145
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,419 81 145
As far as I know hajawahi kukanyaga States.
Having said that,kuna mtu kanitonya kwamba eti kubaka au kung'ang'aniza demu ni aina ya ugonjwa kwa wanaume wengine.
... may be alikuwa BongoFlavorer mwingine. kunradhi.. anyway, there are just far too much rumour in that industry .... beef za ma hip hoper nyingi nazo ni kutokana na mambo ya hearsay..

baadae ng'wanone..
 
DMussa

DMussa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
1,312
Likes
82
Points
145
DMussa

DMussa

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
1,312 82 145
The man can never be trusted!!
I've always had doubts about him....anyway looks like he's now made this his habit!!
atakamatwa tu...
 
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Messages
3,971
Likes
2,226
Points
280
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2014
3,971 2,226 280
Hivi mnyama yupo?
 

Forum statistics

Threads 1,238,390
Members 475,954
Posts 29,318,999