Jay Z na Beyonce watoa zawadi ya kifahari kwa mtoto wa Kanye

ricktz

Member
Joined
Jun 25, 2016
Messages
20
Points
45

ricktz

Member
Joined Jun 25, 2016
20 45
Jay Z na Beyonce wameamua kumuandalia zawadi ya kifahari maalumu kwa ajili ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian ambaye anasiku 2 toka azaliwe. Beyonce na Jay Z wametoa oda maalumu kwenye kampuni inayotengeneza vidani inayofahamika kwa jina la Lorraine Schwartz kumtengenezea mtoto huyo kidani chenye thamni ya Uro 15000.

Ikumbukwe kuwa Jay na Kanye West waliingia katika mgogoro kwa kipindi kirefu kutokana na Kanye West kumdis Beyonce akiwa jukwaani kitu ambacho Jay Z hakupendezwa nacho, lakini Jay Z mwishoni mwa mwaka jana alionesha bado anautambua urafiki wake na Kanye West na kuamua kusema kuwa “Kanye na mimi ni ndugu mengine yametokea kama dharura tu“.

Usiache kutembelea website yako pendwa ya rickmediatz kwa habari za [HASHTAG]#Burudani[/HASHTAG] kila siku.
 

Forum statistics

Threads 1,379,698
Members 525,516
Posts 33,753,586
Top