Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimeona orodha mbalimbali ya watu wakiorodhesha idadi ya vitabu walivyosoma mwaka jana. Katika wote walioandika orodha zao mwandishi Fadhy Mtanga anaongoza kwa kusoma vitabu 107 kwa mwaka jana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale wahenga katika mziki wa Bolingo.... nadhani mtakumbuka enzi zile wazaire walivyoweza kuteka soko la mziki kanda ya nchi za Africa Mashariki,.. Kama vile wanamziki, Koffi, Madilu, Wenge BCBG...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jay Z na Beyonce wameamua kumuandalia zawadi ya kifahari maalumu kwa ajili ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian ambaye anasiku 2 toka azaliwe. Beyonce na Jay Z wametoa oda maalumu kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rapa wa miondoko ya HipHop nchini MarekaniThe Game amepata pigo baada ya kufiwa na baba yake mzazi aliyefahamika kama George Taylor. George Taylor amefariki akiwa na umri wa miaka 65. Kutoka na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nay wa Mitego anauanza mwaka 2018 kwa kupitia mtihani huu mkubwa sana kwake akiwa kama msanii. Hii ni baada ya wadukuzi kuweza kuichukua akaunti yake ya #YouTube na kufuta video zake zote ambazo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Husika kichwa cha habari kwa wazee wa movie na series. Luna site ambazo inaitwa fmovies.net nilikuwa naitumia kudownload movie na series naona sasa haifanyi kazi now. Naomba msaada wa site...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
habari wakuu, mwenye kujua group lolote la miziki ya tanzania ile ya kale yani zilipendwa naomba anifate inbox, ninataka kujiunga au atoe link
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nimetembelea Arusha, Mbeya, Manyara, Dodoma, hivi karibuni nikashangaa tofauti na inavyopigwa kwenye TV na radio stations, wimbo wa "Zilipendwa" umebamba! Nakumbuka ulivyopigwa vita na kituo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwema wadau jf, Kama nlvyo andka hapo juu naitaji msaada kwa hilo, Kuna filam ameicheza visent kigosi siijui inaitweje naitafuta kwa kubahatsha rakin siipati, ila ndan ya filam hio kunajamaa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wadau Nina mda mrefu sijasikia stori yoyote kuhusu hii big brother afrika??itaanza lini??mbona kimya sana??
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Si lazima u comment, unaweza pita tuu, ili utuache wengine tulale.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikifungua link ya kudownload series za kikorea ya dramafire inanigomea kabisaaa Kuna app nyingi sana lakin naomba mnisaidie App nzuri kama ipo ambayo itakuwa inanijulisha kuna series mpya au...
1 Reactions
4 Replies
821 Views
Sasa wadau kila nikisema wanawake wengine wavaaga kishetani/kimalaya mnakataaga.kuna wanawake ninao kwenye list yangu ni wanavaaga kihuni sana.mimi niwaonye tu hadharani waache utovu wa maadili na...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari mwana jamvi, Katika ulimwengu wa entertainment Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na utolewaji wa tuzo za Golden Globe Awards mwaka huu wa 2018. Kwa kweli naomba niongelee jambo kubwa ambalo...
5 Reactions
1 Replies
3K Views
Last month, there are many new faces appeared in our Monthly Top 10 covers chart such as Nana+, Surasree Chakraborty, Felicityy as well as manna_melody. They are all good singers and their...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Nimpenzi wa 360 nasikitika tangu juzi (Jumapili) Mnasuasua Sana.Kibaya zaidi nyie mmekazana kurusha vipindi !! Kama mitambo inasumbua sitisha matangazo maliza tatizo.
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Habari zenu wakuu ..??ok leo nilikuwa nataka tuzungumzie hii true story ya hii series movie hiitwayo VIKINGS najua mnajua kama hii ilikuwa ni true story. Ambayo ilitokea kwnye huu ulimwengu wetu...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Habarini wanajamii forums kwa wale ambao wako nje ya Tanzania au nje ya dar es salaam wangependa kusikiliza radio online dunia nzima solution ni bongo radios Bongo Radios – Applications Android...
1 Reactions
0 Replies
566 Views
Back
Top Bottom