Habari waungwana, nawasalimu nyote
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mm nimelitazama hili kama swali la kufunga mwaka kwa upande wa burudani na nikaamua kuli_solve kama kipindi kile cha...
Hali zenu ndugu zetu.?
Ni lini show za kibongo wataacha kuvamia mastage hawa watu wanofata?
1. Mabaunsa
2.Camera men
3.Wapambe
Nikicheck show za mbele stage inakua free na msanii anakua huru kuperform
Wakati Tigo Fiesta wakifuta tamasha la mwaka huu huko Dar baada ya kuzuiwa kutumia uwanja wa Leaders Club huko Mtwara tamasha la Wasafi limehudhuriwa na viongozi wa serikali akiwemo naibu Waziri...
Msaada wadau....... kuna nyimbo ya kisukuma huchezwa sana kwenye maharusi huku watu wakitikisa mabega huku wakishuka chini........
Moja maneno ninayo ya kumbuka ni pamoja na
"..........funyagi...
Kama mnavyofahamu, Leo ndio ile siku ambayo ikisubiriwa kwa hamu na Wanamtwara kama sio Tanzania kwa ujumla..
So wale wanyama wote wenye majina makubwamakubwa hapa bongo tayari washadrop Mtwara...
Habarini za mchana! (mods naomba thread hii isiunganishwe tafadhari)
Kwanza kabisa napenda kudeclear kuwa mimi ni mpenzi wa burudani na sio Fiesta au wasafi festival, hizi zote mimi nilikuwa...
Wala siwaonei huruma bali nasema mmestahili kutokewa na kilichowatokeeni leo na pengine hili sasa linaweza kuwafanyeni mjitafakari upya na muache kuwa na Kiherehere na Kujipendekeza wakati ukweli...
Wadau,
Nimefikiria biashara flani hivi kwamba iwe kama FUNCTION flani lakini ilete mafao, nimefikiria kuiita NYAMA CHOMA FESTIVAL ambayo nafikiria iweze kufanyika eneo lililo wazi hivi, pawepo na...
(verse 1:)
Chakwake chakwako,chakwako cha kwake
Pamoja wakati wote kama kidole na pete
Sio lazima awe ndugu hata mtu wa mbali
Ukiumia anaskia uchungu anajali kwa kila hali...
Christopher George Latore Wallace (anajulikana kama Biggie Smalls, jina la jambazi la kwenye filamu ya mwaka wa 1975 ya Let's Do It Again, "The Black Frank White", jina la mwuza madawa ya kulevya...
Jua ni moto
Tena ni mwangaza ya dunia
Jua, maji, mwezi, nyota, upepo na udongo
Ni uzima wa binadamu
Nadina yooo
Nadina yoyo
Nadina yooo
Nadina yoyo
Tuombe mungu baba yoyo
Atuhurumie...
Wanajukwaa leo ndio sikukuu ya Wapenda burudani wote ambapo wasanii mbalimbali wakiwemo manguli kadhaa kutoka Africa..
Kuna Jose Chameleon kutoka Uganda,Teknomiles na Yemi Alade kutoka...
Fiesta fursa kuanzia sokoni leo inafikia tamati katika viwanja vya CCM mjini Mtwara baada ya matamasha hayo kufanyika katika mikoa yote ya Tanzania bara kasoro Dsm. Msemaji wa wadhamini wenza wa...
Yawezekana Clouds Media Group yashinda hii vita baada ya taarifa kuwepo kuwa Tigo Fiesta Dar es salaam inaenda mpaka Asubuhi licha ya RC wa DSM kusema kuwa iishe saa 7 usiku ambayo iko ndani ya...
Kwanza naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi mwingine wowote.
Maana kwa kufanya hivyo, ntashindwa kuzipata hizi nyimbo.
Kuna kwaya fulani inaitwa Nioth Prophetical Singers, hawa wana Albam...
Waandaaji wa tamasha la kila mwaka la Fiesta, Clouds Media Group wamelazimika kuwarudisha wasanii wote waliotolewa kwenye 'list' ya watakaotumbuiza baada ya muda kuonekana kuwa kikwazo...
Wadau mnaojua haka kamchezo kanaendaje mtueleze baada hivi karibuni kumekuwepo kwa lawama nyingi sana kwa radio moja eti inanyonya ilikuwa inanyonya ni kweli kwamba kwingine kupo sawa au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.