Wapi kuna taarab leo Jumatano?

Wapi kuna taarab leo Jumatano?

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Nataka kujifurahisha leo na taarabu kama kuna anaejua kumbi za taarabu na ratiba ya leo Jumatano anijuze.
 
Mkuu kwa bahati mbaya mimi sijui vinginevyo ningekufahamisha hizi za siku hizi rusha roho na mipasho sio taarabu ndo maana sijui kiwanja chochote cha taarabu.

Ngoja nikupe taarabu za wazazi wetu walizokuwa wakiziskiliza haya naanza hapo chini -:

Yu wapiiiii wangu muhibuuuu...
Yu wapiiiii wangu muhibuuuu...
Natesekaa na maajonzii...
Natesekaa na maajonzii....
 
Hata wikendi haijafika mnajirusha,,,,,!!
 
Ooyooo siku ingeni ukitaka taarabu basi usiulize humu hapo hapo mtaani huwa wana juwa yote ya taarabu ya kiduku na kahanga moka ni vijana wa kinashati na makaka poa na hao pia unaweza ukafatana nao na hapo hata kingielio huwa buri na utasuza roho na mbavu kuchanika kwa furaha
 
Nenda magomeni kuanzia pale Mikumi zaidi ya bendi 5 zinapiga kila siku!!
 
travertine hotel leo east african melody wanapiga
 
Gusagusa wanapiga mtaa wa kongo pale kuna hotel juu rooftop
 
Back
Top Bottom