Kule Diamond na Kule Prof Jay

Kule Diamond na Kule Prof Jay

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
381
......For me, Hawa Ndo Majemedari WA Music Tz All Time.
Kila nikiangalia New songs za Mbunge wa Mikumi, navurugwa Sana, na naenda Mbali Sana mpaka Hard Blastars enzi Hizo Za Fanani.
Na Kuhusu Nyimbo Laini hapa Hakuna Ubishi Kama Diamond ndo Kiboko yao,

Tatizo Roho mbaya na Husda ndo Inatufanya tujifanye Kama Hatuoni ubora Wao, but For Sure Hawa Ndo Real Icons Hapa TZ

PERIOD
 
Hivi mtu akiandika halafu akamalizia na Period huwa ana maanisha nini?
 
Back
Top Bottom