......For me, Hawa Ndo Majemedari WA Music Tz All Time.
Kila nikiangalia New songs za Mbunge wa Mikumi, navurugwa Sana, na naenda Mbali Sana mpaka Hard Blastars enzi Hizo Za Fanani.
Na Kuhusu...
Habari zenu viongozi.
Jamani mi nimefika jana dar je, nianzie wapi kutafuta ajira. Nina elimu ya darasa la saba na sina hata hiko cheti cha kumaliza shule. Msaada wenu tafadhali. Kwa anayeweza...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua kuwa, fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 zilizopangwa kufanyika #Cameroon, hazitofanyika tena nchini humo kutokana na sababu za kiusalama...
Hakuna anayebisha hii ndio ngoma Kali ya kufungia mwaka. Huu wimbo kiukweli ni mkali kutokana na jinsi walivyotambaa na beat, baada ya Harmonize kuingiza verse ya kwanza kisha Rayvanny kuingiza...
SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI.
MTUNZI;RAJA SAIDY.
WHATSAPP;0756920739.
SMS;0621047841.
SEHEMU YA KWANZA ( 1 )
Mwezi wa pili huu bado sijapata suluhisho la jambo ili,yaweza kuwa ndio hukumu ya...
Nifurahi iliyoje kuona timu kila mchezo inapata matokeo niwapongeze wachezaji kwa uzalendo wao katika club yetu ya yanga tunapita kipindi kigumu ndani ya timu yetu hasa kiuchumi lakini wachezaji...
Anaonekana amerudi hali yake ya awali anaendelea vizuri Mungu amsaidie. Ukienda Youtube utaona nimeshindwa kuupload. anayeweza atafute huo wimbo aupakie. Wimbo fungua link hii:
SHOW YA IRINGA:
Show ya jana ya Wasafi wamejitahidi sana kuimprove... Vile vile kubadilisha hasa suala la kupoteza muda... Vilevile katika kuchagua list ya wasanii, suala ambalo wasafi inabidi...
Nimeshangaa hatua waliyofikia ndugu zetu wa Nigeria kuigiza filamu za ngono bila aibu yoyote naona huko kwao maadili ndo hakuna tena.
Wadada wazuri wanafanyishwa ngono huku wakirekodiwa na camera...
Germany Women 2-0 Brazil Women
Germany edged out Brazil in a gripping match to became the first team to retain the Women's World Cup.
Sandra Smisek showed great composure to pick out...
Boyz II Men's songs for the end of the road
This weekend, they were on X Factor. But today, the R&B singers are with us, talking about the tracks that inspired them and what it takes to become...
RAHA JIPE MWENYEWE
Mtunzi: Masanja Mwita (The Black Rider)
SEHEMU YA 1.
Ilikuwa ni mida ya asubuhi siku ya Jumatano, kiujumla hali ya hewa ilikuwa tulivu na ukimya ulitawala nyumbani kwa Arafa...
Tangia najiandaa kwenda job Lyrics za "Chiquitita" zinakatiza akilin mno
Chiquitita, tell me what's wrong
You're enchained by your own sorrow
In your eyes there is no hope for tomorrow
How I...
Kwa Wale Wenzangu wa Mikoni Ambao Hatujafanikiwa Kufikiwa na Hii Radio Station Nmefanikiwa Kupata Japo Recorded Version ya Ngoma Zinazopigwa kwa Sasa.
Tuenjoy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.