Hongera Mwinyi Zahera Hongera wachezaji

Hongera Mwinyi Zahera Hongera wachezaji

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
821
Nifurahi iliyoje kuona timu kila mchezo inapata matokeo niwapongeze wachezaji kwa uzalendo wao katika club yetu ya yanga tunapita kipindi kigumu ndani ya timu yetu hasa kiuchumi lakini wachezaji wanajituma kwa moyo wote hongereni sana mnafanya hivi kwa ajiri yetu sisi wapenzi wa timu hii

Pia iwe funzo kwa wachezaji wengine unapokuwa mchezaji lazima uwe mvumilivu sana yanayowakuta yondani na kakolonya ni matokeo yao ya kukosa uzalendo leo hii wachezaji wenzao wanavumilia kitu ambacho wanajihakikishia namba ndani ya uwanja


Mwinyi zahera: Kakolonya ni mchezaji yeye ndiyo anapaswa anipigie simu na awapigie simu viongozi tujue yupo wapi na siyo mimi kocha nimtafute yeye.

Kakolonya yeye ndiyo anatakiwa aje mazoezini na siyo mimi zahera nimtafute aje mazoezini


Hongera zahera kwa misimamo yako na kuwa wazi kwa wachezaji na mashabiki Mwenyezi Mungu ibariki DAR YANGA AFRICAN
 
Mimi pia napongeza kwa ushindi huu na uwezo wa kocha. Kimsingi kila shabiki wa Yanga anafurahia huo ushindi,
Lakini je, siku Yanga ikianza kufanya vibaya wote tutaendelea kuwa pamoja na kuona kuwa kocha bado yupo sahihi kwa misimamo yake?
Yondani na Kakolanya wanadai stahiki zao ni jukumu la uongozi kutafuta namna ya kuwalipa mishahara yao coz bado ni watu muhimu kwenye kikosi cha Yanga.
 
Back
Top Bottom