Kwanini Tanzania Rwanda Uganda na Kenya zisiombe uenyeji AFCON 2019


Negrodemus

Negrodemus

JF Gold Member
Joined
Dec 30, 2010
Messages
2,190
Likes
188
Points
160
Negrodemus

Negrodemus

JF Gold Member
Joined Dec 30, 2010
2,190 188 160
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua kuwa, fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 zilizopangwa kufanyika #Cameroon, hazitofanyika tena nchini humo kutokana na sababu za kiusalama. CAF imealika nchi nyingine kutuma maombi, na nchi mwenyeji itatangazwa Disemba 31. Swahili Times on Twitter

Kwa habari hii iliyotolewa ni wakati wa TFF kukaa na vyama vya mipira jirani kuomba wenyeji wa mashindano haya kutokana na hali inayoendelea huko Cameroon.
Na hii ndiyo mikakati ya kukaa na kupanga diyo kila siku wanawaza watakula vipi hela.
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
3,707
Likes
3,548
Points
280
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
3,707 3,548 280
Labda waganda japo hata tz magu akiamua yule baba aweza kufanikisha maana hashauriki arakakoamkia ni huko huko.
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
1,950
Likes
2,103
Points
280
Age
31
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
1,950 2,103 280
Labda waganda japo hata tz magu akiamua yule baba aweza kufanikisha maana hashauriki arakakoamkia ni huko huko.
Katika nchi yenye viwanja vibovu E.A ni Uganda na Burundi, au umetumia kigezo cha FIFA rankings!
 

Forum statistics

Threads 1,238,925
Members 476,277
Posts 29,336,972