mastory
Member
- Dec 5, 2018
- 18
- 10
SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI.
MTUNZI;RAJA SAIDY.
WHATSAPP;0756920739.
SMS;0621047841.
SEHEMU YA KWANZA ( 1 )
Mwezi wa pili huu bado sijapata suluhisho la jambo ili,yaweza kuwa ndio hukumu ya maisha yangu.Nimekuwa kama kichaa sijui ili wala lile.
Kiukweli kumpenda nampenda na wala sitaki kumpoteza, wenye hela mahandsome boy na watu wenye majumba makali na yakifahari ndio watu muhimu kwake.
Hakuwahi kunitamkia ananipenda lakini kila siku nilipojaribu kumuonyesha hisia zangu,ndio kwanza alionekana kunidharau na kunifokea.Huenda akawa yuko sawa lakini naomba afahamu yakuwa yupo moyoni mwangu.
*******
Mawazo yaliniandama na kujikuta sina amani katika maisha yangu ya kila siku,kumpenda nampenda napia namjari mpaka namtambulisha kwa marafiki zangu lakini bado hanipendi.
Koo lilianza kuniuma yote sababu huwa namuota yeye na ndoto zangu nyingi huwa ni za kuzungumza,hivyo wakati nikiwa ndotoni huwa natumia sauti kubwa na kali kulitaja jina lake.
Sikuwahi kumuotea vibaya lakini bado anipendi,nifanye nini????.Sawa sawa nimepata wazo kuu la kunisaidia yanibidi nitumie kila njia hasa kwa dawa za kichawi kumpata Husna.Hahahahahaha.
Baada ya kuwa nimekaa kutandani huku nikiendelea kuongea mwenyewe kama kichaa,nilivuta shuka langu kisha nikalala.
Nilipitiwa na usingizi na kujikuta nalala usingizi wa "FOFOFO" ulionishawishi na kunipeleka mpaka majira ya saa tano asubuhi.
Nilishtuka kutoka katika kitanda changu kwa kutanguliza miguu yangu chini kabla hata sijashuka.Nilianza kupekecha macho yangu yaliyojaa usingizi ndani yake,kisha nikainamisha kichwa chini ya uvungu wangu wa kitanda bila hata ya kuamka mahali nipokua nimeketi.
Nilifanikiwa kuziona kandambili z ambazo kwa kipindi hicho ndio zilikuwa zimevuma kwa jina la "KANDAMBILI NYEUPE".
Huku zangu zikionekana kupoteza rangi yake na kuanza kushika uchafu.Kuhusu swala zima la usafi kiukweli ulinipita kushoto kama msemo usemao "TENDA WEMA NENDA ZAKO".
Nilivaa kandambili zangu kisha nikainua kijigodoro kilichopo kitandani kwa ajili ya kuangaza elfu mbili yangu niliokuwa nimeiweka majira ya usiku wakati nataka kulala.
Baada ya kuwa nimeiona niliipachika mfukoni huku nikiendelea kupiga hatua za chapuchapu zisizokuwa na mpangilio maalimu kwa lengo la kutoka nje.Hatimaye nilitoka nje.Bila ya kupoteza muda nilibana kijimlango hicho kwa kutumia kamba niliyokuwa nimeizoea katika kuufungia mlango huo na kuelekea tauni bila hata ya kupiga mswaki wala hata kuusafisha uso wangu maana uchafu ni asili yangu.
Mwendo wangu ulikuwa wa haraka haraka hivyo ndani ya muda mchache tayari nilikwisha tia nan'ga tauni kwa ajili ya kufuata nilichokitaka.Nikiwa nimesimama pembezoni mwa barabara huku nikiangaza Mzee niliyemfahamu anayejishughulisha na swala zima la matibabu yoyote uyatakayo na kufanikiwa kumuona huku akiwa ameshafungua kijibanda chake.
"Mzee shikamoo....!!!!!!???"
Nilianza kwa kutanguliza salamu kabla hata sijafika mahali alipo Mzee huyo.Na nilifanya hivyo ili apate kuwa makini nami,naye aliacha shughuli zake zakuendelea kufunga dawa zake za kienyeje na kuanza kunitazama mahali nilipo kwa jicho la kejeli.
"Mzee shikamoo kwa mara ya pili?????"
Baada yakuwa nimefika na kuketi pembezoni mwa mzee huyo,nilitanguliza salamu ya pili iliyomfanya mzee huyo anichukulie kama kichaa.
"Samahani mzee wangu nina shida na ndio maana naonekana kama mtu nisiyekuwa na akili timamu,lengo la mimi kuja hapa nataka nijue huduma zote unazozitoa, si unajua vijana wa mjini karibia wote bila ya kufika kwako ujue ujakamilika...!"
"Kijana wangu unaongea sana,kwa ufafanuzi zaidi bila ya kutambulisha kila nachokifanya,nahitaji kukuambia lolote lile ulitakalo kwangu halishindikani."
"Ahahahaha Mzee wangu wewe ni hatari mimi nakuamini,ila mimi nilitaka kununua uchawi.....!!!!!!!"
"Uchawi huwa siutoi hivi hivi mpaka umtoe mama yako kafara ndio utaupata,lakini Kijana mdogo kama wewe uchawi unautaka wa nini????"
Mzee huyo aliniuliza swali lilionifanya nikumbuke niliokuwa nayawaza usiku kuhusu msichana nimpendae aitwaye Husna.
"Acha tu Mzee wangu,kuna msichana anaumiza akili yangu alishawahi kuniomba vitu vingi nami umtekelezea lakini bado nikimuuliza yakuwa kama ananipenda yeye hataki.Najaribu kupenda kwingine nashidwa,ila maamuzi yangu yamefika tamati nataka nimfanya anipende kwa lazima ikishidikana mimi namuuwa kwani shingapi bwana.!!!!!!"
"Mimi huwa sina mambo mengi,nafanya kazi bila ya kuogopa chochote.Mimi hapa nimetoka uzimuni na kuja huku duniani kuondoka na watu wangu,sasa Kijana unakubali kuwa mshirika wa shetani na utafanya kila nachokitaka maana inaonekana unanifaaa sana.."
"Mzee wangu nitafanya kila utakacho ila cha muhimu unipe uchawi tuu na nguvu za giza zitakazonifanya nimfanye Husna anipende bila ya yeye kutambua.."
Niliongea kwa hasira na ujasiri mkubwa kwani nilijua mwisho wa Husna kunizungusha umefika mwisho.
"Sawa kijana wangu,fata taratibu hizi; muuwe Mama yako kisha unywe damu yake bila ya mtu yoyote kukuona hasa hasa majira ya saa nane usiku,hakikisha leo hii usiku unaifanya kazi hiyo.Kesho kabla ya jua kuzama uwe umemaliza kazi yote pia uje hapa na sehemu za siri za Mama yako bila ya mtu yoyote kukuona.Viungo vingine vitakavyobakia hakikisha unavizika nyuma ya nyumba yenu huku ukiwa mwenyewe."
"Mzee mbona kijikazi chepesi hicho,hamna kazi nyingine????.Maana Mama kumuuwa dakika ziro.Mama mwenyewe hanisaidiii, Mama gani analala anachelewa kuamka Mama gani hajui kutafuta hela ananitegemea mimi....!!!"
Niliongea maneno yaliyofanya Mzee huyo kuachia tabasamu kisha akasema.
"Safi sana Kijana na utafanikiwa kwa kila kitu.Utamfanya Husna utakavyo,ikibidi majira haya haya ukaandae mazingira ya kufanya Mama yako asiondoe kwenda popote.Maana akiondoka mungu anaweza kumuepusha na ukamkosa..!!!"
"Ni kweli Mzee ngoja nimuwahi,kesho nakuletea kila ulichokihitaji...!!!"
Nilizungumza na Mzee huyo huku nikiwa naanza kusimaa kwa ajili ya kuondoka.
"Sawa Kijana wangu,ukifanikisha kila kitu, nitakupa kila utakacho,pia ukishaleta vitu hivyo nitaanza kukupa dawa ya mwisho itakayofanya damu ya Mama yako ambayo utakuwa umeinywa isitoke mwilini mwako kwa kuikojoa.Isipotoka mwilini mwako itakupa nguvu kali za kishetani."
"Sawa Mzee wangu kazi njema,ngoja nimuwahi mama,kabla ajaenda shambani....!!
"Sawa"
Nilianza safari ya kuvuka barabara kwa ajili ya kwenda kufanya ukatili wa kuandaa mazingira ili ifikapo tu saa nane usiku nimchinje Mama yangu.
Itaendelea...........
SIMULIZI HII UNAWEZA KUIPATA KWA ADA NAFUU KABISA.NITAFUTE WHATSAPP NAMBA 0756920739 AU SMS NAMBA 0621047841.UTAIPATA YOTE.