Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jambo ambalo wameligundua wasanii hivi karibuni ni kwamba kuimba nyimbo ambayo maudhui yake yanaleta ukakasi na kupelekea kuifungia basi hoyo ni kiki tosha sana ambayo itapelekea watu kuifatilia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Utamu wa ushindi Na Ahmed Rajab KUNA vitu vitamu. Na kuna mambo matamu. Kila utamu una ladha yake na kila ladha ina utamu wake. Ladha ndio huo utamu na huo utamu ndio ladha yenyewe. Na huwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti wadau hivi Dj khaled anafanyaje shows zake maana nikicheki nyimbo zake nyingi sana anawaachia wanaimba wengine tu ye haimbi chochote sasa shows inakuaje?
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Katika ukurasa wa msanii diamond platinumz nimeona kaandika kwamba msanii wa hip hop Nikki Mbishi atakuwepo kwenye wasafi festival 2018...... Nikupongeze sana mdogo wangu kwa kukumbuka...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu , labda sijaelewa mi naona kuna double standards katika kufungia nyimbo zenye utata wa kimaudhui ya kimaadili.Naona hawa jamaa wa BASATA kwenye hili la nyimbo ya Nyegezi ya Rayvanny(mimi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasafi fm ni radio station inayokuja kwa kasi sana apa nchini kwa burudani.. Wanapga nyimbo konki sana alafu wanajua kupangilia na wanaenda na ratiba leo j,pili zinapigwa gospal za hatari apa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu jamani? Naitwa Chuse , me ni msanii chipukizi ambae nafanya mziki wa hip hop. Nahtaj msaada wenu ili kufikia malengo ndg zangu! Video yangu ipo YOUTUBE tayari naomba ridhaa yenu ili...
1 Reactions
2 Replies
787 Views
Habari Wana JF Nilkuwa naomba kujua na kufahamu mtu yoyote amabe anajua process za kuweza kuahamia chuo cha serikali kutok chuo cha private Je inakuaje na nini uwe navyo hadi kuamia cha serikali...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naam, Televisheni ya Taifa imemaliza kuuonyesha mchezo ama tamthilia ya "The Long wait". Ama kweli tamthilia hii imetugusa tulio wengi. Yani imekaa vema sana. Binafsi niliipenda namna ilivyokuwa...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
JULIANA-01....Gideon alitulia kwenye kochi lililokuwa sebuleni kwake katika jumba lake la kifahari lililokuwa Masaki jijini Dar es Salaam. Alikuwa akimwangalia mke wake, Juliana Marcel jinsi...
7 Reactions
115 Replies
26K Views
Chez Ntemba maarufu kwenye nyimbo za lingala hasa nyimbo za Defao na Koff, mjasiria mali wa mda mrefu wa vinywaji na baadae club za mziki. Amezaliwa Lubumbashi na ndiko aliko anza na club kubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SEHEMU YA 01...- NYEMO CHILONGANI “Sijui atazaliwa mtoto gani.” “Labda wa kiume.” “Mmmh! Mimi napenda awe mtoto wa kike ili na sisi tujivunie kwa mara nyingine.” “Ila yeye mwenyewe si alitaka wa...
17 Reactions
382 Replies
38K Views
Audio: Nandy – Hazipo |Download Mp3 - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
27K Views
Huyu mrembo aliyehusika kwenye hii ngoma ni homa ya jiji mkali sana
1 Reactions
0 Replies
2K Views
hii ni collective michano ya STAMINA. Cheki anavyoflow
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana jf hilo ni jina la tamthilia ambayo naitafuta,kwa yyt mwenye ufaham nayo na anajua inapopatikana anijuze.tamthilia hiyo ilikuwa ikioneshwa TBC 1 Miaka ya 2008_2009. Na ilikuwa imetafsiriwa...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
SIMULIZI: DUNIA DUARA. KUTOKA KWA JOTO LA MOTO. SEHEMU YA KWANZA. KIJENGE JUU ARUSHA-MSURURU WA VYUMBA VYA KUPANGA-NJE-ASUBUHI. Rose, Mwanadada mrembo wa miaka 20, yupo nje ya nyumba anapiga...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Audio Mpya ya Kwake RAYVANNY Akiwa Ameshirikiana na DIAMOND PLATNUMZ , Wimbo Unaitwa "MWANZA" DOWNLOAD HAPA Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Mwanza KUWA KARIBU NASI NA KUHAKIKISHWA HUPITWI NA...
0 Reactions
1 Replies
37K Views
New Video: Rayvanny Ft. Diamond Platnumz – Mwanza - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Back
Top Bottom