Uchambuzi wimbo mpya wa Harmonize x Rayvanny.


eastmea

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
153
Likes
130
Points
60
eastmea

eastmea

Senior Member
Joined Jul 28, 2018
153 130 60
Hakuna anayebisha hii ndio ngoma Kali ya kufungia mwaka. Huu wimbo kiukweli ni mkali kutokana na jinsi walivyotambaa na beat, baada ya Harmonize kuingiza verse ya kwanza kisha Rayvanny kuingiza inayofatia, kiukweli kabisa Rayvanny alikuwa amemfunika Harmonize lakini baada ya Harmonize kuingiza verse ya tatu kwenye wimbo huo alimfunika Rayvanny.

Uzuri wa huu wimbo unachezeka alafu unaimbika kama ilivyokuwa kwa kwangwaru, yote kwa yote hawa jamaaa wanastahili pongezi kwani wimbo ni mkali mno hii ni kutokana na ufundi wa hawa vijana.

img_20181205_201747_503-jpg.957496
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
4,437
Likes
4,791
Points
280
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
4,437 4,791 280
Hii nyimbo ni noma kama ya mungu ibariki tanzania
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
1,305
Likes
1,129
Points
280
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
1,305 1,129 280
Huo ndio uchambuzi uliopost hapo?
kweli mwalimu wako wa fasihi o-level anibidi akurudishie pesa yako tu
hakuna namna...
 
eastmea

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
153
Likes
130
Points
60
eastmea

eastmea

Senior Member
Joined Jul 28, 2018
153 130 60
Huo ndio uchambuzi uliopost hapo?
kweli mwalimu wako wa fasihi o-level anibidi akurudishie pesa yako tu
hakuna namna...
Chambua nawewe mkuu maana unashombo kama mtoto wakike
 
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
767
Likes
749
Points
180
Age
48
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
767 749 180
Hauna matusi? Maana hawa shida yso hawawezi imba bila matusi
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,126
Likes
12,141
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,126 12,141 280
Hakuna anayebisha hii ndio ngoma Kali ya kufungia mwaka.
Huu wimbo kiukweli ni mkali kutokana na jinsi walivyotambaa na beat,baada ya harmonize kuingiza verse ya kwanza kisha rayvanny kuingiza inayofatia kiukweli kabisa rayvanny alikuwa amemfunika harmonize lakini baada ya harmonize kuingiza verse ya tatu kwenye wimbo huo alimfunika rayvanny.
Uzuri wa huu wimbo unachezeka alafu unaimbika kama ilivyokuwa kwa kwangwaru,
Yote kwa yote hawa jamaaa wanastahili pongezi kwani wimbo ni mkali mno hii ni kutokana na ufundi wa hawa vijana View attachment 957496
Mange Kasemaje?
 
talentboy

talentboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
1,772
Likes
1,396
Points
280
talentboy

talentboy

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
1,772 1,396 280
mbona kwangu nimeiona ya kawaida sana! tofauti na nilivoijengea picha...bora hata ile waliyofanyaga enzi zileee kmaa ya mchiriku hivi nazani inaitwa "Penzi"....ila ngoja niupe muda kwanza huwenda ukaniingia kadri siku zinavyokwenda
 
shebination

shebination

Member
Joined
Sep 7, 2016
Messages
95
Likes
120
Points
40
Age
24
shebination

shebination

Member
Joined Sep 7, 2016
95 120 40
Kiukweli huu wimbo unapoanza tu unajua no dude Kali
 
shagy cobra1

shagy cobra1

Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
92
Likes
67
Points
25
shagy cobra1

shagy cobra1

Member
Joined Nov 25, 2018
92 67 25
uchambuzi gan huo mkuu ,,weka mashairi uchambue ,,hayo ni maelezo ya kuusifia wimbo sio uchambuzi
 

Forum statistics

Threads 1,238,925
Members 476,277
Posts 29,336,972