Riwaya: Raha Jipe Mwenyewe (Sehemu ya 1)

Riwaya: Raha Jipe Mwenyewe (Sehemu ya 1)

masanjamwita

New Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1
Reaction score
2
RAHA JIPE MWENYEWE

Mtunzi: Masanja Mwita (The Black Rider)

SEHEMU YA 1.

Ilikuwa ni mida ya asubuhi siku ya Jumatano, kiujumla hali ya hewa ilikuwa tulivu na ukimya ulitawala nyumbani kwa Arafa. Sauti pekee zilizokuwa zikisikika ni kutoka katika muungurumo wa Friji sebuleni na maji yaliyokuwa yakitiririka kidogo kidogo kutoka kwenye bomba bafuni.

Arafa alikuwa peke yake. Binti yake na kijana wake wa kiume wote walikuwa wamekwenda shule. Binti yake anasoma kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Serikali, na kijana wake yupo kidato cha tatu, shule binafsi.

Arafa, mumewe na watoto wao wanaishi mitaa ya Mecco Kati jijini Mwanza.

Ni kawaida kila siku za wiki, yaani Jumatatu mpaka Ijumaa, watoto wa Arafa hurudi nyumbani kuanzia mida ya saa kumi au zaidi kutegemeana na ratiba zao za shule. Mume wa Arafa siku zote hurudi nyumbani kuanzia mida ya saa kumi na mbili za jioni au zaidi. Muda wote huu wa kuanzia asubuhi mpaka mida ya Alasiri, Arafa huwa peke yake nyumbani kwa kuwa hana hata dada wa kazi.

Arafa ni mwanamke mrembo na anayevutia kwa kila mwanamume ambaye atabahatika kumuona. Ana umbo la wastani, si mnene si mwembamba lakini mwenye “hips” za kuweza kumchanganya mwanamume yeyote yule mwenye macho ya kuona. Arafa ana aibu sana tangu enzi za utoto wake. Katika umri huu wa miaka 36, kama humfahamu unaweza kudhani ni binti wa kidato cha tatu kwa alivyo mrembo na tabia yake ya kuona aibu kupita kiasi pindi aongeapo na wanamume. Kuna kitu kimoja kinamsumbua sana Arafa tangu kabla hajaolewa.

Amejitahidi sana kutafuta namna ya kuwaeleza hata shoga zake wa karibu lakini ameshindwa. Ni siri iliyopo ndani ya moyo wake tangu akiwa kidato cha tatu sekondari moja ya bweni hapa jijini Mwanza.

Kila akifikiria kitu hiki, basi midomo yake huanza kuchezacheza kwa shauku kama paka aliyeona mnofu wa samaki. Ni muda huu akiwa peke yake chumbani aliona ni nafasi muafaka kuanza tena “mchezo” wake ambao ni siri yake kubwa.

Taratibu alianza kushika tumbo lake ambalo lilikuwa sawia utadhani hana mtoto hata mmoja wa kuzaa mwenyewe. Alikuwa amevaa “kufuli” nyepesi ya rangi nyeupe pamoja na brazia nyeupe iliyomkaa vema na kuyashika vizuri matiti yake yaliyotuna kiasi. Kwa uzito kiasi aliokuwa nao, godoro la nchi kumi alilolalia lilibonyea kidogo sana na kufanya kiasi kikubwa cha mwili wake kuonekana waziwazi.

Katika ndoa yake ambayo imedumu kwa miaka 19 sasa, Arafa ameishi maisha ya upweke kwa kiwango kikubwa kutokana na tabia na shughuli za mume wake. Mume wake yuko “busy” sana na mara chache hukaa na kuongea na mke wake. Tofauti na siku za mwanzo za ndoa yao, siku hizi mume wake wala hajali tena kutoka nae angalau hata mara moja kwa mwezi.

Mambo haya ndiyo yaliyomfanya Arafa aendelee na tabia yake aliyoifanya siri siku zote.
Kwa maadili ya kiafrika, kidini, na kijamii mchezo ambao Arafa ameufanya ni siri yake siku zote huonekana ni kinyume kabisa na maadili. Ndiyo maana Arafa anashindwa kabisa kuwaeleza hata shoga zake. Amejitahidi sana kuacha lakini imeshindikana. Akiwafikiria shoga zake akina Linda, Mwanaidi, Agness, na Aisha ambae wao humuita mcharuko, anaona itakuwa ni “msala” mkubwa kuwashirikisha na kuwaomba ushauri. Anafahamu kabisa kuwa Aisha Mcharuko akizipata habari za siri yake, basi mtaa mzima na pengine jiji zima litapata taarifa.

Wakati mwingine Arafa hukaa mwenyewe na kufikiria kuwa pengine si yeye mwenyewe ambaye hufanya mchezo huu ambao muda si mrefu atauanza tena akiwa peke yake chumbani. Akimfikiria shoga yake Mwanaidi na stori zake za mbwana wa nje huwa anachoka kabisa. Mwanaidi ni mwanamke wa Tanga na muongeaji kuliko hata ndege chiriku. Hana siri, akipata tu bwana mpya lazima aje awaambie shoga zake namna alivyomchuna au namna alivyomnywea bia zake.

Haoni aibu kabisa kueleza jinsi alivyomsumbua kitandani huyo bwana wake mpya mpaka akampa pesa anazotaka yeye.
Shoga yake Agness yeye hana makuu sana. Ni mkimya kiasi ingawa nae ana mambo yake ya chinichini. Ameolewa na ana mtoto mmoja. Anamuheshimu mume wake lakini siku zote huwa anamsisitiza Arafa kuwa mwanamke ni lazima awe na kidumu kidogo mkononi aendapo kisimani kuchota maji kwani ndoo iliyo kichwani inaweza kuanguka akiteleza.

Hivyo Agness ana kidumu chake mitaa ya Rufiji katikati ya jiji la Mwanza. Ni Arafa pekee ndiye hana mwanamume wa nje katika ndoa yake miongoni mwa shoga zake.

Baada ya kuwafikiria kidogo shoga zake, Arafa aliendelea kulipapasa tumbo lake kwa mkono wa kushoto na kuanza kushika chuchu ya titi lake la kushoto kwa mkono wake wa kulia. Taratibu alisugua chuchu yake na kuanza kuhisi hisia fulani za raha katika kichwa chake. Alifumba macho ili avute hisia vizuri lakini aliona kama vile brazia aliyovaa inamchelewesha.

Alivua brazia na kuitupa pembeni yake kidogo. Matiti yake malaini sasa yalikuwa huru na kufanya iwe rahisi kutomasa chuchu zake. Kama awali aliendelea kubinya taratibu chuchu ya titi lake la kushoto kwa mkono wa kulia huku mkono wa kushoto ukipitiliza moja kwa moja mpaka kwenye ukingo wa kufuli yake nyeupe iliyomkaa vema. Ilikuwa laini sana hivyo haikuwa vigumu kwa mkono wake kupita moja kwa moja mpaka katika ikulu.

Alivyogusa ikulu tu kwa upande wa juu, mwili mzima ulimsisimka na kuhisi kama vile amemwagiwa maji ya vuguvugu. Akiendelea kubinyabinya chuchu kwa mkono wa kulia huku mkono wa kushoto ukishugulika ipasavyo kusugua kila alipohisi panamletea raha katika ikulu yake.

Wakati akiendelea kujipa raha kwa mikono yake, alinyonga taratibu kiuno chake kilichozungukwa na cheni moja ya silver inayong’aa. Alitamani sana awe na mwanaume ambae angekuwa akiifanya shughuli hiyo kwake badala ya yeye kujifanyia mwenyewe. Alimlaumu sana mume wake Meddy, ambae kila siku hulalamika kuwa amechoka na hata siku akimlazimisha basi hamalizi hata dakika moja anakuwa ameshamchafua na kumuacha akihangaika mwenyewe usiku kucha na “wadudu” wanaomnyevua mwili mzima. Alishajitahidi sana kumueleza mume wake kuwa hamridhishi, lakini hakuna msaada wowote ambao ameupata kutoka kwa Meddy.

Wakati anaendelea kujipa raha, kuna mawazo yalimjia kichwani kuhusu kijana mmoja mdogo aitwae Mike ambaye ni rafiki wa mtoto wake wa kiume. Jana wakati anatoka “supermarket” mida ya jioni alikuana na Mike njiani na Mike alimsaidia mzigo mpaka nyumbani. Mike alikuwa na mwili mkubwa uliojaa kama vile mfanya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito ingawa alikuwa na umri mdogo unaoendana na wa mtoto wake.

Alikuwa ni maji ya kunde na mwenye heshima sana mtaani. Wakaazi wengi wa mtaani wakubwa kwa wadogo walimpenda sana Mike.

Arafa aliendelea na zoezi lake huku akimfikiria Mike na baada ya kama dakika kumi na tisa hivi alihisi kama vile pumzi zinataka kumuisha na alikuwa akibana miguu kwa nguvu.

Nini kitaendelea? Fuatilia sehemu ya 2.
 
Lete hyo kitu bhana wengn tunachungulia tu mitandao na kusepa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom