Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa Wale Wenzangu wa Mikoni Ambao Hatujafanikiwa Kufikiwa na Hii Radio Station Nmefanikiwa Kupata Japo Recorded Version ya Ngoma Zinazopigwa kwa Sasa. Tuenjoy
1 Reactions
0 Replies
736 Views
Si kazi yangu kujishughulisha na makosa ya jinai. nilishangaa kidogo chifu aliponiamuru nifuatie tatizo la upungufu wa almasi. Isingekuwa kwa sura aliyoonesha nilitaka kumwambia apeleke malalamiko...
12 Reactions
256 Replies
61K Views
Kwa wale wapenzi wa riwaya karibuni sana. Nikiwa mdau wa mambo hizi nimeona nishee moja ya riwaya ambayo nimeikuta mahali lakini sijaitunga mimi jamani niwe mkweli. Nimeona si vibaya tuka share...
18 Reactions
93 Replies
27K Views
I want to know Who ever told you I was letting go Of the only joy that I have ever known Girl, they're lying Just look around And all of the people that we used to know Have just given up, they...
1 Reactions
6 Replies
920 Views
Fitna za kwenye hii series ni za kisomi sana sasa kwanini watawala wetu Tanzania yani CCM pamoja na serikali wasizitumie ili wabongo tuache mihemko ya kisiasa mana kiukweli saiv tunachukiana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
My mama said nothing would break me or lead me astray Who would have guessed I'd let my mind drift so far away You always said I was a dreamer now it's dead I'm dreaming of things that's making my...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Tenzi za rohoni ndio kiungo kikubwa cha imani ya kikristo karibu madhehebu yote Mwanamuziki wa Injili Rose Mhando anasauti inayofiti sana ikiwa umebahatika kumsikia akiimba wimbo mmojawapo was...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ikiwa leo ni Kumbukumbu ya ' Mtaalam ' wa Sanaa za ' Mapigano ' duniani ( Martial Arts ) Hayati Bruce Lee naomba wale wenzangu na Mie ambao tulikuwa tukipenda mno Kuziangalia, Kuiga na kwenda...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne zenye visa visivyochosha kutazama ,hakika ni muvi za karne bongo hawataweza kutengeneza muvi kama hizi teeeeeena. Sultan Tamba na Musa Banzi rudini bhana...
2 Reactions
90 Replies
41K Views
Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchangua wewe ×2 Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia Kukuoa inanibidi, kwa kila hali...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Habati ndugu wanajamvi.Nilikua mpenzi wa hili game enz hizo Likiwa 2015,2016 lakini kwa sasa hv nimeshindwa jinsi nnavoweza kulipata free.Play store linauzwa 19,999 hvyo mtu anaeweza kunielekeza...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Wachina wamshangaza Magufuli, wacheza ngoma ya kisukuma Hii imetokea wakati wa Ufunguzi wa Chuo kikuu cha DSM wakati akifungua Maktaba kubwa na ya kisasa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wanaume wa mikoani internet mnaijua nyie kaeni na radio mkulima
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwenye maisha siku zote kuna kupanda na kushuka na ndivyo wanavyoombea wengi yatokee hayo kwa CLOUDS FM lakini tatizo Lina kuwa kwa wapinzani wake wako mbali sana kuwafikia CLOUDS . E-FM wapo...
15 Reactions
74 Replies
10K Views
Habari wakuu Hapa kanisani kwetu tumeanzisha kwaya ya vijana.Hivyo bado hatujapata jina linalofaa na linalovutia. Je,kuna jina lolote ambalo unahisi tunaweza kulitumia kama jina la kwaya yetu...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari zenu Waungwana, Nimeona Bora niseme chochote kumpongeza Linex. Amini usiamini tunapozungumzia International standard kwenye music LINEX ni next level. Huyu jamaa angekuwa na kihelehele...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
1.nuruel tumeagizwa upendo 2.rudi ya rogers lukas 3.wachuja nafaka nyimbo inaiywa wachujanafaka plz jamani zitupieni hapa na kama na kunamtu nae anatafuta nyimbo andike na mm ntamsaidia kuweka...
2 Reactions
42 Replies
62K Views
Hii ni tathmini Binafsi. Tukianzia tangu sakata la ushoga lilipo anza kisha kukolezwa na kuibuka kwa Dudu baya na KONKI yake.Hisia nyepesi ilikua ni muendelezo wa vita Kati ya Makonda na Clouds...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom