Rose muhando kurudi kazini katoa kibao "Watangoja sana"

JWKRMM

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,577
1,041
Anaonekana amerudi hali yake ya awali anaendelea vizuri Mungu amsaidie. Ukienda Youtube utaona nimeshindwa kuupload. anayeweza atafute huo wimbo aupakie. Wimbo fungua link hii:
 
Tutasubiri sana "Yesu Kurudi" au tutasubiri sana jiwe kuondoka mlimani?
 
Kamwe neno la Mungu halijawahi kuwa na masimango wala viini vya masimango, mafumbo, vijembe na mambo mengine yanayofanana na hayo. Rose ni mzuri wa kutengeneza tune za nyimbo lakini kwenye content ni taarabu tupu.
 
Lakini unatakiwa kufahamu HAIMBIWI MUNGU tunaimbiwa sisi.
 
Mleta mada umetumwa na anastazia mukukubwa umtaftie mb nini!! Mbona huo wimbo huko you tube haupo?
 
Lakini unatakiwa kufahamu HAIMBIWI MUNGU tunaimbiwa sisi.

Kwa mfumo wa masimango ni sawa na makwazo, kama Biblia ingeandikwa kwa utaratibu wa uimbaji wake basi ingepata wasomaji wachache

Mungu anasema tupendane, siyo tusemane na kukwazana
 
Kamwe neno la Mungu halijawahi kuwa na masimango wala viini vya masimango, mafumbo, vijembe na mambo mengine yanayofanana na hayo. Rose ni mzuri wa kutengeneza tune za nyimbo lakini kwenye content ni taarabu tupu.
Kumbuka ule wimbo wake wa Haya we haya weeee. Anavyosimanga.
 
Kwa mfumo wa masimango ni sawa na makwazo, kama Biblia ingeandikwa kwa utaratibu wa uimbaji wake basi ingepata wasomaji wachache

Mungu anasema tupendane, siyo tusemane na kukwazana
Watu wanakosea kusema Rose Muhando anaimba nyimbo za mungu. Design hii huimba ku entartain kama waimbaji wengine tu. Ukiguswa na message, wao husema jiwe gizani.
 
Na ndipo hapo inapopotelea tafsiri ya injili, na wengi wanaomshabikia ni wale wasiojua kutafakari neno la Mungu vilivyo, na kama wamo basi ni wale wanaochuma kupitia uimbaji wake.

Sijawahi kuguswa na ujumbe hata mmoja wa huyo mwimbaji, hana ushawishi wa kihubiri ana ushawishi wa kimashambulizi ya maneno zaidi
 
Kumbuka ule wimbo wake wa Haya we haya weeee. Anavyosimanga.

Hahahaaaa, ni taarabu ya kutokea bara kwenda pwani, kinyume na ile nyingine ya kutokea mwambaoni kwenda bara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom