Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wimbo huo hapo juu ulioimbwa na kundi maarufu LA Abba kama sikosei ndio wimbo mzuri kuliko yote niliyowahi kuisikia duniani kama Kuna mwenye mashairi yake na maudhui auchambue kidogo roho yangu...
10 Reactions
70 Replies
10K Views
Hivi ni lini mtawafanya wateja wenu waelewe kuwa kuna juhudi mnafanya kurudisha local chanels kwenye kisimbuzi chenu? Au mmeona hakuna namna namna mnaweza kurudi tena tuambieni wateja wenu...
0 Reactions
12 Replies
684 Views
Wakuu, Mimi ni mdokezaji tu, ni kama mjumbe wa nyumba 10. Ni hivi, Wasafi Festival inakuja kuifuta kwenye Ramani FIESTA, Fiesta ambayo imelea wengi, imeibua wengi tangu mwaka 2000 wakati...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Waungwana mko salama? Aisee siamini nilichoshuhudia yani ni media yetu hii hii au kuna lengine limewakumba? CLOUDS FM imefikia hatua inatembea na magari mabarabarani kutangaza Fiesta?? Kweli...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Karibuni wana Jf, wenzangu.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
TUKIWA TUNAKARIBIA KUFUNGA MWAKA NIMEONA KUSHARE NANYIE WANA JAMVI KUHUSU ALBUM BORA ZA MWAKA HUU UPANDE WA HIP HOP NA R&B KWA UPANDE WANGU ALBUM NAZOSIKILIZA NZURI MDA WOTE BEERBOBGS&BENTLEY...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kitabu hiki kinaanza katika nchi ya Guinea ya Kihispania(Spanish Guinea) ambayo ni nchi ya Guinea ya sasa raia wawili wa Kifaransa wakiwa katika likizo nchini humo, ambapo walifanikiwa kumpata...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habarini Wakuu! Eneo lote lilikuwa kimya. Ukimya ule hata ni panya angekuwa akitembea basi sauti yake ingesikika. Giza totoro lilikuwa limetawala. Ukungu mwepesi ulikuwa ukikimbia kwa mwendo wa...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Tupac Shakur Tupac Amaru Shakur (16 Juni 1971 - 13 Septemba 1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na pia mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Naona watu wamekuja na style ya kuanguka na kunyanyuka na umetrend sana. Huu wimbo unaitwaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau, naomba msaada kwa anaejua link nitakayoweza kudownload season OG ya Alladin maana za kutafsiriwa zina kero zake. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya watu wanapata shida wanapokutana na baadh movies au series ambazo zimetumia lugha ambazo hawako familiar nazo mf. french spanish kihind and things of the kind lkn pia kuna baadh ya...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
The weekend ft Kendrick Lamar "Pray for me" Ni nyimbo ambayo inafikirisha sana, kwa mtazamo wangu... I'm always ready for a war again Go down that road again It's all the same I'm always ready...
2 Reactions
2 Replies
717 Views
Anti-blackness in Brazil's media How is Brazil's diversity represented in the media? Clue: it's not. Programme about race representation and the media in Brazil Source Why is Brazilian...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
[Intro] Lala salama Matatizo, chuki, lawama [Chorus] Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Na kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu Uki-ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Matatizo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
WanaJF wenzangu naomba kwa wale ambao hamjawahi kuitazama filamu hii kwa jina la “THE ANIMAL FARM, toleo la mwaka 1999. Tumia mda wako kidogo weekend hii kuitazama then, kwa wale wachambuzi wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnielekeze sehemu ya kudawnload kolean movie zilizotafsiliwa kwa kiswahili
0 Reactions
1 Replies
3K Views
James Bond: Movie Series Zenye Ubunifu wa Hali ya Juu, Ipi Ilikuwa Kali Zaidi Kwako? Huu ni mkusanyiko wa movie series zilioanza kuigizwa zamani sana tangu mwaka 1962, kila movie ina jina lake...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Back
Top Bottom