Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

RISASI 4 na richard MWAMBE Joseph Rutashobya anashuhudia mauaji mabaya ya wazazi wake, hali hiyo inamwacha yatima, anaishi maisha ya tabu mpaka anakuwa mtu mzima. Sasa Joseph Rutashobya 'JORU'...
4 Reactions
36 Replies
16K Views
Habari ,. Nafahamu wengi wetu tunafuatilia kipindi cha mwanadada Diva kinachorushwa na Clouds Fm,. Kuna wimbo huwa unasikika katika background wakati wa tangazo la kipindi chake hasa wakati wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Audio: Young Killer Ft. Fid Q & Belle9 – Hatuna Kesi - SYLI CLASSIC MUSIC
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Natumai mu wazima Wangapi tunafatilia hii season ya naagin kuanzia season 1,2 mpaka sasa tupo season 3 Binafsi naipenda sana hii drama,ambayo inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili 8pm...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Audio: Weusi – Niache Kidogo |Download Mp3 - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
7K Views
SIMULIZI:MAHABA NIUE MTUNZI:RAHEEM USANGA Ni jioni yapata saa kumi na mbili kijana mtanashati,mkarimu,mwenye mvuto wa sura hata mwili kwani amejijenga mwili mithiri ya yule mwanamieleka wa...
0 Reactions
7 Replies
76K Views
New Video: Professor Jay Ft. Harmonize - Yatapita - SYLI CLASSIC MUSIC
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za jumapili wana jamii forum KUNA NYIMBO MBILI NAZIYAFUTA ILA SIZIJUI MAJINA YAKE 1.Wa kwana umeimbwa na msanii CHIDY(sio chidy benz)na umekuwa Directed na CHRIS ila sijaua unaitwaje ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Feb 6, 2018 Njombe, Tanzania Mahindi yashuka bei wakulima walia kupanda Dar, Njombe ni tsh 4500 WAKULIMA wa mahindi mkoani Njombe bado hawajaanza kuona manufaa ya kufunguliwa kwa mipaka kutokana...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
1) karibia members wote walihama makwao kabla ya kutimiza miaka 25. 2) Kwa asilimia kubwa wanajiona wanao uwezo wa kuchambua kila kitu katika maisha; Uchumi, utamaduni, siasa, nk. 3) Wengi wanadai...
1 Reactions
7 Replies
751 Views
kila nikiitazama Inanikosha kiukweli moja tamthilia bora toka ASIA
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Naomba msaada mtu anitumie nyimbo au album nzima ya taarab moja ya zamani (Majina ya nyimbo, album na muimbaji Simjui). Baadhi ya nyimbo kwa ufupi zilikuwa zinaimba hv: 1. Bado nakuona ndama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu Habari zenu, Baada ya kuona hizi chart za muziki katika hivi station nikashangaa sana nikao Sio mbaya na mimi nikashare hiki yaani kumbe kila redio ina top 20 au top 10 za nyimbo zake...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Una ninyima viazi unakula mwenyewe na huna maji unakula unakufa
1 Reactions
2 Replies
855 Views
Straight to the point: Its unquestionable Fact Bongo movies wanazingua kote especially upande wa movie za action! Pamoja na kuzingua huko zipo baadhi zenye afadhali atleast! Kuna vijana wanajiita...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kundi kongwe la sanaa ya uigizaji na ngoma lililotoa vipaji vingi vya uigizaji hapa nchini, Kundi la Sanaa la Kaole "Kaole Sanaa Group" limerudi ila sasa kwa jina lingine..habari kamili ametueleza...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Baada ya kimya cha muda mrefu OCG anamtafuta Dee... "Wapi Dee"
0 Reactions
0 Replies
803 Views
New Video: Morgan Heritage x Jamaica Ft. Diamond Platnumz & Stonebwoy – Africa - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wote walikuwa kundi moja ya one direction sasa kila mtu anafanya mziki peke yake. Kati ya harry styles na zain malik nani anajua zaidi au wewe unampenda nani zaidi? Upande wangu mimi naona harry...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom