anayemju msanii mwenye mashairi haya anitjie jina au wimbo nimesahau

May 9, 2014
57
44
hii ni taarabu ya zamani kidogo anaye kumbuka jina"HALUFU MBAYA IMETAWALA MWILINI NAELEkEA SAYARINI WAPO WALIO RUKA KWA UNGO KIMAZINGALA WAUWAJI ''
 
Ingia playstore download shazan. Piga wimbo wowote weka shazan on itakupa jina la wimbo na sura ya album yake.

Usiombe samaki. Omba kufundishwa kuvua.
 
embu sahau hizo mambo sweetie. Kuna chai murua yenye rangi ya dhahabu kama mapenzi yetu kwa ajili yako.
Sipendi kuona ukinuna ujue utafanya siku yangu iwe mbaya.
Kwa nini uliandika ukafuta lakinii... Napenda sana chai ila naumia sana mimi jamani babaa
 
Jiongeze mkuu, kwa hayo mashairi unadhani utaitwaje kama sio 'mganga wa kienyeji?'
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom