MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,888
Hawa wadada wamejitahidi sana, humu ndani sauti ya Victoria imetulia sana. Stella Mwangi naye amechana vizuri sana, instrumental imetulia sana na imekaa kibunifu sana, kiufupi kazi ni nzuri sana.
CC: Wick
CC: Wick