WCB walianzisha wasafi(.)com ili kuuza na kudistritribute ngoma lakini ikaja ikafungwa. Ni funzo gani tunafaa kupata na ni nini twafaa kuzingatia?
>> Pata Maelezo
Wasalaam,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,naomba msaada kwa mdau atakayekua na huo wimbo NIZIKWE HAI ulioimbwa na wasanii wawili wa bongo fleva(MANDOJO NA DOMO KAYA).Kadhalika wimbo...
Niukweli usio fichika, asilimia kubwa ya watanzania wanaopenda kuangalia maigizo/tamthiliya (movies) hawaangalii movies za kibongo.
Wasanii/waigizaji wamekuwa wakitulaumu watanzania kuwa si...
Wakuu ile show ambayo nilikuwa ikingojewa kwa hamu kubwa imeanza sasa EAST AFRICA GOT TALENT 2019
Mashindano haya yakusaka vipaji yanafanyika nchini Kenya nakurushwa na baadhi ya television...
Licha ya wasanii wapatao 17 kutokea TZ kuwa nominated kwenye Afrimma mwaka huu, hakuna msanii wa hiphop ambaye amekuwa nominated ?
Ni wapi wasanii wetu wa ku-rap wanakwenda kombo au hiphop...
Mtunzi Nyemo Chilongani
Sehemu ya 01
“Nahitaji kubadilisha tairi, unaweza kunisaidia kaka?” ilisikika sauti ya mwanaume mmoja akimuuliza kijana aliyekuwa amekaa pembeni kwenye tofali.
“Hakuna...
Sorry waungwana nimeweka pes 17 kwenye PC yangu lakini kila nikitaka kulifungua linadaiwa Mara dx3-dill nikaidownload likawa linadai driver nyingine nikaidownload , bado linadai nyingine tena...
Je mawaziri watakaodumu nae bila kutumbuliwa katika huu muhula wa kwanza 2015-2020 hadi muhula wa pili 2020-2025 ndio watakuwa na kigezo cha kurithi kiti cha urais?
Hapa namaanisha mawaziri...
Wadau wa hii redio mbona imekua hivi tena.wanapiga bongoflava wakati tushazoea redio yetu hii inapiga international hits tu..
Kama mambo yenyewe yashakua hivi kwaheri itabakia tbc fm tu.
Chemistry bhana...nakumbuka unaingia exam room unakuta swali hujawahi kusikia tangu form one... Unaenda swali la pili linasema explain your answer in question one above...unaishiwa nguvu unasonga...
Hbr wapendwa.
Naomba kuwasilisha mawazo yangu ktk mahali hapa ili kutoa ninachoona kinaweza kubadili mtazamo wa jamii kwa wasanii wetu.Na pia kubadili mtazamo wa wasanii wetu ktk mbinu...
Tekno amekamatwa na Polisi baada ya picha na video kusambaa mtandaoni akisakata densi barabarani mjini Lagos akiwa na umati wa wanawake waliokuwa nusi uchi.
Kukamatwa huku kunakuja saa chache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.