Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

LEO Hii December 8, 2019 Katk ulimwengu wa burudani kuna rumos nying zime tanda kwenye mitandao tofauti ya kijamii Juu ya kifo cha rapper Jarad Anthony Higgins Maarufu kama JUICE WRLD...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari! Binafsi napenda sana aina hii ya music. Huu uzi uwe maalumu kwa kutupia nyimbo zenye mahadhi/maudhui kama haya. Kama vile; 1. Alan Walker_Faded 2. Chris Brown_Don't wake me up 3. Owl...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Oya wazee JF, mmesusia tamasha la Tigo Fiesta! Sioni mjadala kuhusu show ya jana, niko hapa kazini namuuliza workmate wangu kama show ilifanyika au la, amenijibu kuwa show ilifanyika tena kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kawaida mjini ni mipango na kila mtu anaishi mjini kwa mahesabu yake anayoona yako sahihi,, Nilipotimiza miaka 19 nilitamani kuoa kwa kuwa niliamini ili kupata mafanikio zaidi ni lazima niowe ila...
2 Reactions
94 Replies
36K Views
Wakuu hivi clouds media waliwakosea nini wananchi? Leo tarehe 8 decemba ni siku ya tukio kubwa kiburudani hapa nchi ambalo huambatana na shamrashamra kama zote, kwa awamu hii hali ni tofauti...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Naangalia Fiesta Live on Clouds Plus. Wana matangazo live toka stadiu na interview za studio. Kuna huyu mdau mdau wa clouds wa sanas kaamua kutupia "Trump is My President". Kwa kuchagua hiyo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kabla ya kukata tickets mnaonekana wa muhimu baada ya hapo mnakuwa maboya. Yaani huko kwenye entrance points tunafanywa kama wanyama, hakuna ubinadamu, ni kusukumwa tu na wapuuzi flani ambao...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hawa walioandaa hili tamasha la "Free Esther" wanaishiwa ubunifu kwa kasi ya moto wa nyikani. It doesn't make sense wao kutumia slogans kama "Uhuru wa Burudani" at the same time wameipiga ban...
0 Reactions
3 Replies
926 Views
Hawa jamaa wote wana balaa zito kazi zao recently ni kama ifuatavyo. Hanscana -Harmonize (kushoto kulia & Uno) Kenny -Diamond (sound) -Jux ( sugua) Kwa kuangalia ubora wa kazi zao nani...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
You again (2019). Cast: Mimi mars, Nick Mutuma, Amalie Chopetta, Moriss Mwangi, na wengine wengi. Director: Nick Mutuma & Natasha Likiman Uchambuzi: Hizi ni moja kati ya zile wanaita romantic...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nadhani kichwa kinasomeka vyema. Haya mi naanza na hawa wawili 1. JUMA NATURE - Ikumbukwe huyu anayo ile ya channel O pekee, licha ya ukubwa na ngoma kali zote unazozijua ameshiriki kwa namna...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
1. Sheebah Karungi [emoji1254] Uganda 2. Joeboy [emoji1184] Nigeria 3. Brian Nadra [emoji1139] Kenya 4. Innoss'B [emoji1078] DR Congo 5. Sho Madjozi [emoji1221] Afrika Kusini HT: BBC Watanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mko poa? sasa kuna blog moja inaitwa MIDDLE SIMBA kule U-tube, katika utoaji wake wa habari au uchambuzi mbali mbali huwa kuna wimbo mtamu wa english unapigwa kwa mbali kama background song...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aisee, huyu bidada sijui ni ushamba wa kuona wezere OG ama nini! Night club hakuna asiyejua yanayofanyika huko. Lakini kuwarekodi hao waafrika wenzetu kisha kuwaanika kweny insta stori yake sio...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Hello nimewaletea Audio Mpya hebu tusikilize alafu mtoe mawaidha yenu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali wakuu anayejua wimbo mwingine mzuri wa king monada aweke hapa....Malwede nimeupenda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi ngoma nimeikubali ile mbaya imewakutanisha wasanii wakali na kimetoka kitu kikali. Rayvanny kapiga corus nzuri as usual, Nyandu Tozzy katupia mistari kutu alafu akamaliza mtu mbaya Mr Blue...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Achana na Wizkid,Davido,BurnaBoy,Tecon,Yemi Alade,Tiwa Savage N.k Mashine 3 zinazokuja ku-Save Mziki wa Nigeria. 1.Joeboy Ukimsikiliza vizuri kama unamuona Tecno ndani yake hitmaker wa ngoma...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama umezitizama movie za john wick utakubaliana na mim ni moja kati ya movie zenye action za kibabe sana..pigo zilizotumika huko ni balaa sana Tupia movie nyingine zinazoendana kimapigo na...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Hawa Jamaa kila ' Promo ' yako lazima itakuwa na Kishindo Kikubwa. Hongera sana Kwao Clouds Media Group kwani inaonyesha kuwa wana Vichwa hatari katika Masuala mazima ya ' Promo ' na sishangai...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…