Ni jambo la kusikitisha kwa huyu binti kukatishwa uhai na mumewe kumkata na shoka kichwani siku ya tarehe 25, kwa kile kilichodaiwa muwe alichukia kuandaliwa chai siku ya sherehe ya kuadhimisha...
August Alsina sijajua saivi yupo wapi huyu jamaa Anajua RnB si mchezo.
Nliwahi kumskia kwenye Ngoma nyiki kalii mno Na Sauti yake ni yakipee. Labda azidiwe kidogo na The Weeknd yule Mkanada...
Wakati ikikaribia mwisho wa mwaka 2019, hapa Tanzania Tech huwa na taratibu ya kurudi nyuma na kuangalia yote tulio yapitia kwa mwaka mzima. Kwa siku ya leo tunaenda kuangalia channel 10 bora za...
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student )
MTUNZI: ENEA FAIDY
SEHEMU YA KWANZA
Ilikuwa ni majira ya saa moja jioni ambapo mkuu wa while ya Mabango alikuwa ofisini kwake akiwa amechanganyikiwa...
MKASA WA KWELI
KAONDOKA NA MOYO WANGU
MWANDISHI; ZUBERI MARUMA
WHATSUPP 0759427653
Sehemu ya kwanza
UTANGULIZI
Ni mwanamke nilompenda toka ndani ya mvungu wa moyo wangu,
Nikayabeba matatizo...
Na HumphreyMoris (AnonymousAfrica)
Msanii maarufu kwenye mtindo wa Pop kutoka nchini uingereza Edward Christopher Sheeran almaarufu kama Ed Sheeran ametoa video mpya inayozungumzia watu...
Naona kuna dalili ya Ali kiba kubadilika.Kwa sasa kaamua kuachia ngoma back to back,iwe ni ngoma zake au za kushirikishwa kitu ambacho hapo kabla kilikuwa kigumu.
Safari hii kaachia wimbo...
Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake.
Mijadala...
Nimefuatilia mchuano huu na nimebaini kwamba baadhi ya majaji wanakatisha tamaa vipaji vipya kwa kutoa lugha za kejeri.Mfano wa lugha hizo ni kama vile
1. We huwezi kabisa
2.We unapiga kelele...
Wakuu, uwezo wa Mbwana Samatta na Mpira anoucheza akiwa katika Club yake ya Genk, ni Tofauti na anavyocheza akiwa Taifa Starz (Hajitumi, anacheza ili mradi mpira uishe)
Hili litatugharimu sana...
Kilichowakuta wasanii wa Bongo movie ni fundisho kubwa kwa wenzao wote wanaopenda hiyo sanaa ili kufanikiwa kimaisha.
Wasanii wa Bongo movie walisahau kuwa watanzania wapo matabaka tofauti. Wapo...
Hili halina ubishi huyu jamaa anatalanta ya kipekee sana
Licha ya kuwa hana uwezo Wa kuona tangu kuzaliwa kwake (KIPOFU) Lakini anauwezo MKUBWA Wa kupiga vyombo vingi vya mziki
Sauti yake ni...
Wakuu habarini,
Kama siamini macho yangu: Hivi ni kweli ninayo yaona? Naona kama Clouds mvuto wote kwisha, na hata tamasha lao la Fiesta halina hisia tena.
Shida ni nini, au ni upinzani...
Ahlan wasahlan wanajamvi,
Wazima ninyi? Hopefully wote wazima.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Honestly speaking, Rayvanny ndiyo almasi pekee iliyobakia WCB, kivipi?
Twende...