Muimbaji wa nyimbo za injili aliyepoteza maisha kwa kukatwa na shoka siku ya Krismas

Glenn

JF-Expert Member
May 23, 2015
65,798
156,935
Ni jambo la kusikitisha kwa huyu binti kukatishwa uhai na mumewe kumkata na shoka kichwani siku ya tarehe 25, kwa kile kilichodaiwa muwe alichukia kuandaliwa chai siku ya sherehe ya kuadhimisha kuzaliwa Bwana Yesu.

Binti huyu Mary Richard ambaye ni muimbaji wa nyimbo za injili, nilimfahamu miaka 3 iliyopita alipokuwa akiisha Dar es salaam na baadaye alihamia Moshi alipoishi mwaka mmoja kabla hajarejea kwao Arusha na ndipo alipoolewa na huyu muuaji wake maeneo ya Kilinga, Usariver.

Habari hii imesikitisha wengi kwani binti huyu amedumu wiki tatu ndani ya ndoa kabla kadhia hii kumfika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake Mara nyingine wana majibu ya kuudhi sana, Utakuta kapika Chai kaishia Instagram na WhatsApp na wewe ulikuja ukitarajia ukutane na mapochopocho ambayo yako ndani, unamuuliza anasemaje huna mikono

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi,hawakupewa nguvu,silaha yao kubwa ni maneno au mdomo,ndio maana maandiko matakatifu yanatutaka tuishi nao kwa akili.Omba sana Mungu akujalie hekima na busara mara tu unapo owa, vinginevyo utaishia pabaya...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan hilo ndo lisababishe umuue binadamu mwenzako tena mkeo! Seriously??

Mbona nyie mkikosea tunawavumilia hatuwaui. Huo ni ukatili.... Kama umemchoka mrudishe kwao mtoto wa watu
Wanawake Mara nyingine wana majibu ya kuudhi sana, Utakuta kapika Chai kaishia Instagram na WhatsApp na wewe ulikuja ukitarajia ukutane na mapochopocho ambayo yako ndani, unamuuliza anasemaje huna mikono

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi,hawakupewa nguvu,silaha yao kubwa ni maneno au mdomo,ndio maana maandiko matakatifu yanatutaka tuishi nao kwa akili.Omba sana Mungu akujalie hekima na busara mara tu unapo owa, vinginevyo utaishia pabaya...

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuwa na majibu ya kuudhi. Hiyo siyo justification ya mtu kuondoa maisha ya mwenzie.

Hivi wewe unao uwezo wa kuchukua shoka na kumkata mtu kichwani kama vile unakata gogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa mfano umebahatika kupata watoto na mkeo, halafu siku unamuuliza kwa nini jambo fulani haliiko sawa? anakuuliza unajua hawa watoto niliwapataje?
Unaweza mlaumu mtu kwa maamuzi yake ile majibu mengine humo majumbani we acha tu
 
Kuna haja ya makanisa na misikiti kuandaa mara kwa mara semina za ndoa hasa sisis wakristo ,kuna mahali kuna shida ndoa ...nyingi watu wanachukuana kanisani tu kisa kaoka bac ,lkn hulka na tabia zao hazijulikani ....roho mtakatifu atakamilisha .....Maskofu mliangaliane sana hili ...., Mi siwezi kumlaumu aliueua inawezekana mtengeneza chai na yeye kauli zake hazikuwa nzuri kwa mwenzake ,kushindwa kuhimili ...Mungu atusaidie tuwe na mioyo ya huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kuwa na majibu ya kuudhi. Hiyo siyo justification ya mtu kuondoa maisha ya mwenzie.

Hivi wewe unao uwezo wa kuchukua shoka na kumkata mtu kichwani kama vile unakata gogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaunga mkono matumizi ya nguvu ndio maana nikashauri akili itumike kama vile maandiko yanavyotuasa...
 
Back
Top Bottom