REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

Bilionea kid

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
581
516
Hili halina ubishi huyu jamaa anatalanta ya kipekee sana

Licha ya kuwa hana uwezo Wa kuona tangu kuzaliwa kwake (KIPOFU) Lakini anauwezo MKUBWA Wa kupiga vyombo vingi vya mziki

Sauti yake ni ya kipekee na ya tofauti sana hafanani na mwanamziki yoyote yule

Reuben kigame ni mkenya anaishi Kenya pia nyimbo zake zote anaimba na kundi LA mziki linaloitwa sifa voices

Nyimbo zake ni maarufu sana barani afrika na duniani

Baadhi ya nyimbo zake maarufu sana ni hizi

SINA MUNGU MWINGINE
ENDA NASI
TUTAONANA TENA
BWANA NI MCHUNGAJI WANGU
IMMANUEL
ALFA NA OMEGA
etc.

Hii ni moja kati ya nyimbo inayopendwa sana Mara nyingi utumika kwenye misiba,huzuni na mambo mengine kama hayo

Ongezea mengine yanayo muhusu Huyu jamaa
Muwe na siku njema
 
Mara nyingi nikitaka kusikiliza gospel, basi nyimbo za Reuben huwa za kwanza. Nina nyimbo zake karibia zote, yaani toka nimemfahamu sijawahi kuchoka kusikiliza nyimbo zake.... Ni moja kati wasanii wenye vipaji vya kipekee sana. Ni kipofu lakini anapiga karibia vyombo vyote. Anatunga na kuimba pia. Mungu azidi kumbariki na kumuinua popote pale alipo...
 
Mm nimekuwa mgonjwa kabisa ukishika simu yangu nimeweka playlist ya nyimbo zake tuu

Ngoja nitaanzisha Uzi wa nyimbo zake tuu
 
Weka link za nyimbo zake tuzisikilize.

Nilijua ni kule kwa Watutsi, PK
 
Reuben kigame, kinachomfanya ang'are na yimbo zake jamaa ni mnyenyekevu na anampenda Mungu kwa viwango vya juu sana, nilibahatika kukutana naye Arusha kwenye event moja ya Shangwe voices vot pale metropole huyo mzee ni mtu mzuri sana,
 
Album yake WASTAHILI ndio ilinifanya nimfahamu msanii huyu wa nyimbo za Injili mwaka 1999 na tangu hapo; nikiikuta album yake yoyote siulizi Luna nyimbo gani, nanunua tu. Tatizo ni namba ya kupata album zake huku Dar.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom