Ed Sheeran Awaonyesha Watanzania Wanaopendana Katika Video Yake Mpya (PUT IT ON ME)

anonymousafrica

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
611
639
Na HumphreyMoris (AnonymousAfrica)

Msanii maarufu kwenye mtindo wa Pop kutoka nchini uingereza Edward Christopher Sheeran almaarufu kama Ed Sheeran ametoa video mpya inayozungumzia watu wanaopendana kwa majimbo na baadhi ya nchi.

51.jpg

Kwa upande wa Tanzania aliwaonyesha wa Australia wawili kwa majina ya Stephanie na Tyson ambao wametembelea Zanzibar kwaajili ya honeymoon wiki mbili baada ya ndoa yao.

Pia akawaonyesha wengine ambao ni Nasri na Khadija waliofunga ndoa mwaka 2009 wakifurahi huku wanacheza muziki. Kwa upande wa bara amewaonyesha Esther pamoja na David wakiwa wameshafunga ndoa miaka mi tatu sasa, Wanaonekana wakiwa na furaha.

maxresdefault.jpg

Hii sio mara ya kwanza kwa wasanii wakubwa kutaja au kuwaonyesha watanzania kwenye video zao. Msanii mwingine maarufu kwa jina la PASSENGER, kwenye video yake ya wrong direction amemwonyesha mwanariadha wa Tanzania akiwa amevaa jezi ya Tanzania.

Na HumphreyMoris (AnonymousAfrica)
Msanii maarufu kwenye mtindo wa Pop kutoka nchini uingereza Edward Christopher Sheeran almaarufu kama Edsheeran. Ametoa video mpya inayozungumzia watu wanaopendana kwa majimbo na baadhi ya nchi.
View attachment 1301164

View attachment 1301166

Nicheck Edsheeran Awaonyesha Watanzania Wanaopendana Katika Video Yake Mpya (PUT IT ON ME)
Kaonesha kote bara na visiwani... Idea ya video ni very realistic nimeipenda sana..

Naelewa sana nyimbo zake hasa album ya ÷ na ×

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na HumphreyMoris (AnonymousAfrica)
Msanii maarufu kwenye mtindo wa Pop kutoka nchini uingereza Edward Christopher Sheeran almaarufu kama Edsheeran. Ametoa video mpya inayozungumzia watu wanaopendana kwa majimbo na baadhi ya nchi.
View attachment 1301164
Kwa upande wa Tanzania aliwaonyesha wa Australia wawili kwa majina ya Stephanie na Tyson ambao wametembelea Zanzibar kwaajili ya honeymoon wiki mbili baada ya ndoa yao.

Pia akawaonyesha wengine ambao ni Nasri na Khadija waliofunga ndoa mwaka 2009 wakifurahi huku wanacheza muziki. Kwa upande wa bara amewaonyesha Esther pamoja na David wakiwa wameshafunga ndoa miaka mi tatu sasa, Wanaonekana wakiwa na furaha.

View attachment 1301166
Hii sio mara ya kwanza kwa wasanii wakubwa kutaja au kuwaonyesha watanzania kwenye video zao. Msanii mwingine maarufu kwa jina la PASSENGER, kwenye video yake ya wrong direction amemwonyesha mwanariadha wa Tanzania akiwa amevaa jezi ya Tanzania.

Nicheck Edsheeran Awaonyesha Watanzania Wanaopendana Katika Video Yake Mpya (PUT IT ON ME)

Mbona Ali Kiba ameonyeshwa kwenye video ya R.Kelly nankushiriki kuimba kwa furaha kabisa ila kakausha tu.
 
Back
Top Bottom