Ni kwamba Diamond ndio kaizika Clouds au macho yangu?

Sungusunguu

JF-Expert Member
Aug 4, 2018
1,282
998
Wakuu habarini,

Kama siamini macho yangu: Hivi ni kweli ninayo yaona? Naona kama Clouds mvuto wote kwisha, na hata tamasha lao la Fiesta halina hisia tena.

Shida ni nini, au ni upinzani uliyoletwa na huyu kijana wa Tandale?

Ushauri: Clouds mmezidisha chuki dhidi ya wasanii na kila siku mnaanzisha migogoro isiyo na tija, ndiyo maana muziki wetu haukui kwa level ile. Na pia msipende kuingiza chuki binafsi.

Ona kinachowatokea!
 
Hawewezi kuizika Clouds Fm. Wewe unayesema haisikiki inategemea ulipo na mkoa uliopo na unachosikiliza.

Huwezi kuidondosha kampuni kirahisi kama unavyodhani wakati mshindani bado hauna vipindi vya maana zaidi ya kuweka muziki na kumsifia boss. Wasafi wajipange sana.
 
Hawewezi kuizika clouds fm.ww unaesema haisikiki inategemea ulipo na mkoa uliopo na unachosikiliza.Huwezi kuidondosha kampuni kirahisi km unavyodhani wakati mshindani bado hauna vipindi vya maana zaidi takuweka mziki na kumsifia boss.wasafi wajipange sana

Mkuu hata radio free Africa ipo
Ishu sio kuipoteza tayari apa tunaongelea jinsi inavyo zd kuisha nguvu
Imagine iyo wasafi wakakamilisha vipindi viwe full watu c ndo wataitupa kabisa
 
Wakuu habarini,

Kama siamini macho yangu: Hivi ni kweli ninayo yaona? Naona kama Clouds mvuto wote kwisha, na hata tamasha lao la Fiesta halina hisia tena.

Shida ni nini, au ni upinzani uliyoletwa na huyu kijana wa Tandale?

Ushauri: Clouds mmezidisha chuki dhidi ya wasanii na kila siku mnaanzisha migogoro isiyo na tija, ndiyo maana muziki wetu haukui kwa level ile. Na pia msipende kuingiza chuki binafsi.

Ona kinachowatokea!
Mimi binafsi huwa nawashangaa team wasafi nikwanini kila wakati kiki zenu zinapobuma lazima mje na nyuzi za kuizungumzia Clouds?

Mbona sioni nyuzi za team Clouds zinazowazungumzia nyie?

Acheni kujishtukia fanyezi vitu vilivyo bora then Hadhira itaona tu.
 
Joseph Kusaga kabadilisha brand ya chupa ya Gongo

Kama vile Coca Cola wanavyohadaa watu eti Coca zero
 
Back
Top Bottom