Anaeukumbuka huu wimbo anikumbushe

Anaeukumbuka huu wimbo anikumbushe

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,425
Moja ya lyrics zake ni hizi, zinaimbwa kwa sauti ya kiume "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri..", "kuna binadamu wa ajabu.." etc

sasa sijui jina la huu wimbo na msanii alioimba ili niu-search youtube, anaeujua anikumbushe
 
Bwan chuchuuu.Ni rahisi kuteka maji kwa pakacha kuliko yeye kuniachaa. mama natorokaaa,natorokaaa.Mao Santiago naimbaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom