Hii ni ngoma ya wapi?

Hii ni ngoma ya wapi?

Nahisi ni "Waha" wa kutoka Kigoma ndio niliwahi ona wanacheza kama hivyo pindi nlipokuwa nasoma.

Wajuzi zaidi watakuja kukutanabaisha mimi nimeanzia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom