Nyimbo za Tenzi za Rohoni kwa namba na jina

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mwokozi umeokoa………………… 1
Twamsifu Mungu………………… 2
Hata ndimi elfu………………… 3
Jina la Yesu, salamu!………………… 4
Jina lake Yesu tamu………………… 5
Baba, Mwana, Roho………………… 6
Ni tabibu wa karibu………………… 7
Taji mvikeni………………… 8
Yesu kwetu ni rafiki………………… 9
Usinipite!………………… 10
Nina haja nawe………………… 11
Ewe Roho wa Mbinguni………………… 12
Tafuta daima utakatifu………………… 13
Yesu kwa imani………………… 14
Cha kutumaini sina………………… 15
Kumtegemea Mwokozi………………… 16
Namwandama Bwana………………… 17
Akifa Yesu nikafa naye………………… 18
Ndiyo dhamana, Yesu wangu………………… 19
Ninaye rafiki naye………………… 20
Roho yangu hima………………… 21
Kale nilitembea………………… 22
Ni salama rohoni mwangu………………… 23
Mwokozi moyoni mwangu………………… 24
Nimekombolewa na Yesu………………… 25
Yesu unipendaye………………… 26
Mungu ni pendo………………… 27
Anipenda ni kweli………………… 28
Baba yetu aliye Mbinguni………………… 29
Nilikuwa kondoo aliyepotea………………… 30
Msingi imara………………… 31
Yesu awakubali wakosa………………… 32
Dhambi ikikulemea………………… 33
Njoni! Wenye dhambi………………… 34
Twende kwake………………… 35
Anisikiaye aliye yote………………… 36
Waitwa, mwovu, na Bwana………………… 37
Twende kwa Yesu………………… 38
Mwenye dhambi huna raha………………… 39
Nasikia kuitwa………………… 40
Yesu aliniita, “Njoo”………………… 41
Kivulini mwa Yesu………………… 42
Yesu akwita………………… 43
Kukawa na giza dunia yote………………… 44
Mtazame Huyo aliyeangikwa juu………………… 45
Twae wangu uzima………………… 46
Ni wako wewe………………… 47
Naweka dhambi zangu………………… 48
Nitwae hivi nilivyo………………… 49
Yesu nakupenda, U mali yangu………………… 50
Mungu twatoa shukrani………………… 51
Yote namtolea Yesu………………… 52
Wewe umechoka sana………………… 53
Yesu nataka kutakaswa sana………………… 54
Nipe moyo wenye sifa………………… 55
Ni sikukuu siku ile………………… 56
Naendea msalaba………………… 57
Mwamba mwenye imara………………… 58
Peleleza ndani yangu………………… 59
Waponyeni watu………………… 60
Tumesikia mbiu………………… 61
Bwana wa mabwana………………… 62
Ndugu wa kirohoni………………… 63
Ujaribiwapo, sifanye dhambi………………… 64
Safari………………… 65
Po pote mashamba yajaa………………… 66
Bwana uliyewaita………………… 67
Mungu msaada wetu………………… 68
Twendeni askari………………… 69
Yesu atuchunga………………… 70
Mteteeni Yesu………………… 71
Twendeni! Haraka!………………… 72
Yesu zamani Bethilehemu………………… 73
Wachunga walipolinda………………… 74
Waimba, sikizeni………………… 75
Njoni, enyi wa imani………………… 76
Msalabani pa Mwokozi………………… 77
Sioshwi dhambi zangu………………… 78
Msalaba wa aibu………………… 79
Wamwendea Yesu kwa kusafiwa………………… 80
Chini ya msalaba………………… 81
Sioni haya kwa Bwana………………… 82
Kwa wingi wa nyama………………… 83
Niwonapo mti bora………………… 84
Ni mtu wa simanzi………………… 85
Damu imebubujika………………… 86
Deni ya dhambi ilimalizika………………… 87
Ndiyo damu ya Baraka………………… 88
Kwa Kalvari………………… 89
Aliteswa, aliteswa………………… 90
Mapenzi yako yafanyike, Bwana………………… 91
Nataka nimjue Yesu………………… 92
Bwana amefufuka………………… 93
Siku ya mbingu kujawa na sifa………………… 94
Hivi vita vimekoma………………… 95
Mle kaburini, Yesu mwokozi………………… 96
Tazameni huyo ndiye………………… 97
Huyo ndiye anashuka………………… 98
Maelfu na maelfu………………… 99
Tumrudie Bwana………………… 100
Twonane milele………………… 101
Kazi yangu ikiisha………………… 102
Kaa nami………………… 103
Twasoma ni njema sana………………… 104
Kuwatafuta………………… 105
Mungu awe nanyi daima………………… 106
Ewe Baba wa Mbinguni………………… 107
Twenenda sayuni………………… 108
Nitaimba ya Yesu………………… 109
Mapya ni mapenzi hayo………………… 110
Neno lako Bwana………………… 111
Nilikupa wewe maisha yangu………………… 112
Ni mfalme wa mapenzi………………… 113
Bwana Mungu, nashangaa kabisa………………… 114
Kilima kando ya Mji………………… 115
Bwana , U sehemu yangu………………… 116
Tufani inapovuma………………… 117
Ni ujumbe wa Bwana………………… 118
Si damu ya nyama………………… 119
Enyi wanadamu………………… 120
Liko lango moja wazi………………… 121
Bwana Yesu………………… 122
Nimeketi mimi nili kipofu………………… 123
Mungu ulisema………………… 124
Ati twonane Mtoni?………………… 125
Ni mji mzuri………………… 126
Bwana Yesu atakuja………………… 127
Mmoja apita wote………………… 128
Karibu na wewe………………… 129
Niongoze, Bwana Mungu………………… 130
Piga sana vita vyema………………… 131
Sauti sikilizeni………………… 132
Ni wako Mungu………………… 133
Juu yake langu shaka………………… 134
Mapenzi ya milele………………… 135
Msifuni, Yesu ndiye mkombozi………………… 136
Yesu mponya………………… 137
Tukutendereza Yesu (Luganda)………………… 138


Nyimbo za Tenzi za Rohoni kwa jina
Akifa Yesu nikafa naye………………… 18
Aliteswa, aliteswa………………… 90
Anipenda ni kweli………………… 28
Anisikiaye aliye yote………………… 36
Ati twonane Mtoni?………………… 125
Baba yetu aliye Mbinguni………………… 29
Baba, Mwana, Roho………………… 6
Bwana , U sehemu yangu………………… 116
Bwana amefufuka………………… 93
Bwana Mungu, nashangaa kabisa………………… 114
Bwana uliyewaita………………… 67
Bwana wa mabwana………………… 62
Bwana Yesu atakuja………………… 127
Bwana Yesu………………… 122
Cha kutumaini sina………………… 15
Chini ya msalaba………………… 81
Damu imebubujika………………… 86
Deni ya dhambi ilimalizika………………… 87
Dhambi ikikulemea………………… 33
Enyi wanadamu………………… 120
Ewe Baba wa Mbinguni………………… 107
Ewe Roho wa Mbinguni………………… 12
Hata ndimi elfu………………… 3
Hivi vita vimekoma………………… 95
Huyo ndiye anashuka………………… 98
Jina la Yesu, salamu!………………… 4
Jina lake Yesu tamu………………… 5
Juu yake langu shaka………………… 134
Kaa nami………………… 103
Kale nilitembea………………… 22
Karibu na wewe………………… 129
Kazi yangu ikiisha………………… 102
Kilima kando ya Mji………………… 115
Kivulini mwa Yesu………………… 42
Kukawa na giza dunia yote………………… 44
Kumtegemea Mwokozi………………… 16
Kuwatafuta………………… 105
Kwa Kalvari………………… 89
Kwa wingi wa nyama………………… 83
Liko lango moja wazi………………… 121
Maelfu na maelfu………………… 99
Mapenzi ya milele………………… 135
Mapenzi yako yafanyike, Bwana………………… 91
Mapya ni mapenzi hayo………………… 110
Mle kaburini, Yesu mwokozi………………… 96
Mmoja apita wote………………… 128
Msalaba wa aibu………………… 79
Msalabani pa Mwokozi………………… 77
Msifuni, Yesu ndiye mkombozi………………… 136
Msingi imara………………… 31
Mtazame Huyo aliyeangikwa juu………………… 45
Mteteeni Yesu………………… 71
Mungu awe nanyi daima………………… 106
Mungu msaada wetu………………… 68
Mungu ni pendo………………… 27
Mungu twatoa shukrani………………… 51
Mungu ulisema………………… 124
Mwamba mwenye imara………………… 58
Mwenye dhambi huna raha………………… 39
Mwokozi moyoni mwangu………………… 24
Mwokozi umeokoa………………… 1
Naendea msalaba………………… 57
Namwandama Bwana………………… 17
Nasikia kuitwa………………… 40
Nataka nimjue Yesu………………… 92
Naweka dhambi zangu………………… 48
Ndiyo damu ya Baraka………………… 88
Ndiyo dhamana, Yesu wangu………………… 19
Ndugu wa kirohoni………………… 63
Neno lako Bwana………………… 111
Ni mfalme wa mapenzi………………… 113
Ni mji mzuri………………… 126
Ni mtu wa simanzi………………… 85
Ni salama rohoni mwangu………………… 23
Ni sikukuu siku ile………………… 56
Ni tabibu wa karibu………………… 7
Ni ujumbe wa Bwana………………… 118
Ni wako Mungu………………… 133
Ni wako wewe………………… 47
Nilikupa wewe maisha yangu………………… 112
Nilikuwa kondoo aliyepotea………………… 30
Nimeketi mimi nili kipofu………………… 123
Nimekombolewa na Yesu………………… 25
Nina haja nawe………………… 11
Ninaye rafiki naye………………… 20
Niongoze, Bwana Mungu………………… 130
Nipe moyo wenye sifa………………… 55
Nitaimba ya Yesu………………… 109
Nitwae hivi nilivyo………………… 49
Niwonapo mti bora………………… 84
Njoni! Wenye dhambi………………… 34
Njoni, enyi wa imani………………… 76
Peleleza ndani yangu………………… 59
Piga sana vita vyema………………… 131
Po pote mashamba yajaa………………… 66
Roho yangu hima………………… 21
Safari………………… 65
Sauti sikilizeni………………… 132
Si damu ya nyama………………… 119
Siku ya mbingu kujawa na sifa………………… 94
Sioni haya kwa Bwana………………… 82
Sioshwi dhambi zangu………………… 78
Tafuta daima utakatifu………………… 13
Taji mvikeni………………… 8
Tazameni huyo ndiye………………… 97
Tufani inapovuma………………… 117
Tukutendereza Yesu (Luganda)………………… 138
Tumesikia mbiu………………… 61
Tumrudie Bwana………………… 100
Twae wangu uzima………………… 46
Twamsifu Mungu………………… 2
Twasoma ni njema sana………………… 104
Twende kwa Yesu………………… 38
Twende kwake………………… 35
Twendeni askari………………… 69
Twendeni! Haraka!………………… 72
Twenenda sayuni………………… 108
Twonane milele………………… 101
Ujaribiwapo, sifanye dhambi………………… 64
Usinipite!………………… 10
Wachunga walipolinda………………… 74
Waimba, sikizeni………………… 75
Waitwa, mwovu, na Bwana………………… 37
Wamwendea Yesu kwa kusafiwa………………… 80
Waponyeni watu………………… 60
Wewe umechoka sana………………… 53
Yesu akwita………………… 43
Yesu aliniita, “Njoo”………………… 41
Yesu atuchunga………………… 70
Yesu awakubali wakosa………………… 32
Yesu kwa imani………………… 14
Yesu kwetu ni rafiki………………… 9
Yesu mponya………………… 137
Yesu nakupenda, U mali yangu………………… 50
Yesu nataka kutakaswa sana………………… 54
Yesu unipendaye………………… 26
Yesu zamani Bethilehemu………………… 73
Yote namtolea Yesu………………… 52

Ipo hivi, ukitaka kusoma mashairi au kuusoma wimbo husika, unacopy jina lake na kupaste HAPA au HAPA, au HAPA. Nimeweka hapa sababu wengi wamekua wakitaka hii burudani ya hizi nyimbo bila kuzipata, hata kwenye Vitabu wengine hawajui zinaimbwaje. Naomba jaribu kama una swali uliza. Angalizo. Si nyimbo zote zinapatikana, lakini angalau inaonesha mwanga
 
Wimbo namba 39 ukiimbwa lazima CCM waumie saana. Unaitwa MWENYE DHAMBI HUNA RAHA
Mwenye dhambi huna raha, sikiza nakusihi, utapata msamaha, kwake Yesu Mwokozi! Njoo hima, njoo hima, naye atafurahi.
Yesu anakwita sana, naye yuko Mbinguni; hofu ya kifo hapana, kwake ukiamini. Njoo hima, njoo hima, utapata amani.
Hatakwita siku zote; ni ya sasa nafasi, lete na uchafu wote, kukawa haipasi, njoo hima, njoo hima, ni wokovu halisi.
Uzima uko kwa Bwana, twae uzima hasa, bure unapatikana, wokovu twae sasa! Njoo hima, njoo hima, twae utakatifu.



Nadhani ndio alichomaanisha Kakobe.....
 
Mwenye dhambi huna raha, sikiza nakusihi, utapata msamaha, kwake Yesu Mwokozi! Njoo hima, njoo hima, naye atafurahi.
Yesu anakwita sana, naye yuko Mbinguni; hofu ya kifo hapana, kwake ukiamini. Njoo hima, njoo hima, utapata amani.
Hatakwita siku zote; ni ya sasa nafasi, lete na uchafu wote, kukawa haipasi, njoo hima, njoo hima, ni wokovu halisi.
Uzima uko kwa Bwana, twae uzima hasa, bure unapatikana, wokovu twae sasa! Njoo hima, njoo hima, twae utakatifu.



Nadhani ndio alichomaanisha Kakobe.....
  1. Mwenye dhambi huna raha.
    Sikiza nakusihi,
    Utapata msamaha
    Kwake Yesu Mwokozi!
    Njoo hima, njoo hima,
    Naye atafurahi.

  2. Yesu anakwita sana
    Naye yuko Mbinguni:
    Hofu ya kifo hapana
    Kwake ukiamini.
    Njoo hima, njoo hima,
    Utapata amani.

  3. Hatakwita siku zote;
    Ni ya sasa nafasi.
    Lete na uchafu wote,
    Kukawa haipasi.
    Njoo hima, njoo hima,
    Ni wokovu halisi.

  4. Uzima uko kwa Bwana
    Twae uzima hasa!
    Bure utapatikana,
    Wokovu twae sasa!
    Njoo hima, njoo hima,
    Twae utakatifu.
 
mi-CCM haiji hapa
  1. Mwenye dhambi huna raha.
    Sikiza nakusihi,
    Utapata msamaha
    Kwake Yesu Mwokozi!
    Njoo hima, njoo hima,
    Naye atafurahi.

  2. Yesu anakwita sana
    Naye yuko Mbinguni:
    Hofu ya kifo hapana
    Kwake ukiamini.
    Njoo hima, njoo hima,
    Utapata amani.

  3. Hatakwita siku zote;
    Ni ya sasa nafasi.
    Lete na uchafu wote,
    Kukawa haipasi.
    Njoo hima, njoo hima,
    Ni wokovu halisi.

  4. Uzima uko kwa Bwana
    Twae uzima hasa!
    Bure utapatikana,
    Wokovu twae sasa!
    Njoo hima, njoo hima,
    Twae utakatifu.
 
baadhi yao naona wamezi-pimp kuliko vile wengine tulivyozoea..
ila poa sio kesi
 
baadhi yao naona wamezi-pimp kuliko vile wengine tulivyozoea..
ila poa sio kesi
Ni kweli kabisa. Nadhani hii inasababishwa na ongezeko la makanisa. Kila mtu anataka ajione yupo kitofauti. Ila tuliyozoea ilibamba sana. Ila sio nyimbo zote. Asilimia kubwa naona zipo vilevile
 
Ni kweli kabisa. Nadhani hii inasababishwa na ongezeko la makanisa. Kila mtu anataka ajione yupo kitofauti. Ila tuliyozoea ilibamba sana. Ila sio nyimbo zote. Asilimia kubwa naona zipo vilevile
yeah zile za old school ndo bora..
japo hawajabadilisha hasa bali ni kuongeza udambudambu nadhani
 
yeah zile za old school ndo bora..
japo hawajabadilisha hasa bali ni kuongeza udambudambu nadhani
Ndo kuharibu kwenyewe. Wanadhani ndo creativity kumbe ni kuharibu. Ila nyingine wameshindwa. Hii inasaidoa mtu kujisomea na kujifunza tenzi za rohoni. Fungua wimbo 129 unafungua au unaimba bila kupepesa macho
 
Ndo kuharibu kwenyewe. Wanadhani ndo creativity kumbe ni kuharibu. Ila nyingine wameshindwa. Hii inasaidoa mtu kujisomea na kujifunza tenzi za rohoni. Fungua wimbo 129 unafungua au unaimba bila kupepesa macho
hii ni kweli kabisa..
nishawahi hudhuria msiba kanisa moja ikaimbwa tenzi ninayoikubali sana lakini wao walivyo iimba duh!
 
hii ni kweli kabisa..
nishawahi hudhuria msiba kanisa moja ikaimbwa tenzi ninayoikubali sana lakini wao walivyo iimba duh!
Wengi wanataka wajioneshe utofauti lakini mwisho wa siku unakuta ni yale yale. Ila mi napenza Tenzi sana. Miaka nenda rudi ndo zile zile. Unaweza kuzimeza zote kama wazee wa kanisa
 
Wengi wanataka wajioneshe utofauti lakini mwisho wa siku unakuta ni yale yale. Ila mi napenza Tenzi sana. Miaka nenda rudi ndo zile zile. Unaweza kuzimeza zote kama wazee wa kanisa
hahaha kabisa aisee..
tenzi kwangu ndiyo nyimbo nizipendazo kuliko hata hizo zingine
 
Kuna wimbo fulani hv wa tenzi za rohoni.. uliimbwa na Mh James Mbatia(siku ya kufunga kampeni za UKAWA,pale Jangwani)
Sikuwa nimeusikia kabla ya siku hyo. lakini mh aliposema auimbe ili kesho yake watu wakapige kura za kutosha...
wakati akiimba muheshimiwa.. karibu uwanja mzima ulikuwa ukiitikia beti za ule wimbo...
ulinikosha sana.

sasa hoja ombi langu hapo ninkwamba.. ule wimbo siujui jina wala alieimba. na kutokana kuwa ulinipendeza sana masikion mwangu. bas kwa mwenye kuujua ama kuukumbuka huo wimbo.. bas naomba anitajie japo jina ama mtunzi ili niutafute. maana nimeutafuta sana huko youtube na google sijawah uona wala kuujua.

natanguliza shukran kwenu
Nimekuelewa mkuu. Uzuri wa hizi nyimbo zinaeleweka na kila mtu anazijua kama anahudhuria shughuli za Makanisani. Hizi nyimbo za tenzi za rohoni zina namba. Watu watu wanaoenda kanisani mara kwa mara ukimuimbia msitali mmoja tu anakuwa kashajua namba ya wimbo, kama ana kitabu atakufunulia au atakuimbia verse zote. Mfano wimbo unaosema mbatia aliouimba ni wimbo na 116 unaitwa Bwana u Sehemu Yangu.

Huu wimbo una beti tatu tu.

Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Huyu kajitahidi kuimbwa kwa jinsi unavyoimbwa. Ukiangalia youtube zipo nyingi ila wengi wanaweka mbwembwe wakidhani ndo itapendeza zaidi. Ila huyu dada kajitahidi kuimba kama unavyo ibwa. Hawa wanaoimba cover za tenzi za rohoni wanaondoa radha kabisa. Hivi ndo waimbwa boss.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom