Sam Misago wa EATV yupo wapi?

Sam Misago wa EATV yupo wapi?

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,949
Reaction score
4,425
Aisee nimejaribu kuangalia Friday Night Live kwa mara nyingine ila nimeshindwa.

Nimezoea kumuona Sam Misago kwenye hiki kipindi na hawa watangazaji wapya nashindwa hata kuwakubali.

#WhereisSamMisago? #BringBackSamMisagoFNL
 
Back
Top Bottom