Diva wa Cloudsfm - Mimi sio Tasa Nikitaka Kuzaa Mi na Mwenza wangu tutaenda marekani for IVF

DivaDaily

Member
Oct 2, 2015
18
15
a6a11723-0048-4cae-9ac7-81ab7c83c128.jpg


Mimi sio Tasa Nikitaka Kuzaa Nitaenda Marekani Kupandikiza Mtoto Kwa Njia ya IVF - na ikitokea kawaida pia ntafurahia Godsplan vyeti vyangu vya uzazi viko salama katika uzazi na Mayai tatizo ni Mirija hivyo huniwia vigumu kupata Mtoto kawaida , ameongea Diva Kupitia #KeepingUpWithDiva Youtube Yake, Kuhusu Tuzo Za SoundCity .. nimefurahia sana aisee Burna Boy Nampenda Sana yan nikiwa sina mood my sistaz huniwekea nyimbo za Burna Boy Hivyo huwa natabasamu na kucheza .. yan leo meamka na furaha Burna Boy Kifaa Bana Kanyoosha .. Diva kaongea huku akiwa na furaha tele tena anatabasamu Balaa anasema God is Good Burna Boy is The Goat


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom