Napata wapi nyimbo na album za Rihanna?

Napata wapi nyimbo na album za Rihanna?

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,414
Reaction score
7,005
Huyu dada namuelewa sana nimeanza kumfuatilia zaidi toka niko Primary. So nahitaji album yake at least moja.

Kwahiyo kuna uwezekano wa kudowload album husika na kupata nyimbo zake zote (Audio), na kwa kupitia App gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom