Habari wakuu,
Katika miaka ya 2015, nimekuwa nikifuatilia Series moja inayokwenda kwa jina la FRINGE.
Ni season kali sana ambayo sijawahi kuona tena kwa upande wa Series za kisayansi.
Hii ni...
Napendelea sana kuangalia movie na series za commedy na baadhi ya series commedy nashauri wapenda commedy wenzangu waziangalie (hapa nitataja kumi bora tu)
1. Friends
2. Seinfeld
3. The Big Bang...
Jamani kuna wimbo wa bongo flava unakipande kinaimbwa "hivi ni nini kimefanya unipendeee, unazidi kunipa mawenge" nimeutafuta bila mafanikio. Msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nduguzanguni naombeni horror movie (movie yakutisha) ya kizungu yenye maudhui kama Final Destination.
Sitaki iwe na maudhui ya zombie, vampire au kishetani.
Hawa jamaa wa Block 89 ya Wasafi wanaongeaga vitu vingi sana hawavijui! Too much lies! Story za Kobe (wao wanamuita Kobe na sio Kobi) zimepotoshwa sana kuhusu basketball. Most of them are...
Habari wanajamvi
Mimi sio mwandishi mzuri ila kuna kitu nimeanza kukiona kwenye hii Media mpya ambayo ina msemo "Hii ni ya kwetu sote". Ukweli ni kwamba siku hizi hii media imeanza kususa kabisa...
Hii ndio sura ifuatayo, kusema heri mfalme wako oh
(Ekelamu ya se, kumisa nde mokonzi yo oh )
Viumbe vya ulimwengu, msifu Mungu badala yake
(Worldly creatures, praise God instead)
Hii ndio...
Verses hizi hapa niwekee vocal na biti unitumie PM.Ukiwa na vese za kuongezea weka hapa......Master Jay, Majani. Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki.
Kama unafanya kazi
Weka salary mezani
Tuoneee sasa...
Kuna baadhi ya maneno kwenye chorus huwa siyaelewi sijui waliimba nini. Ni remix ya niite basi, imeimbwa na wakali kwanza
....niite basi mpenzi uwe wangu, nikakutambulishe kwa ndugu zangu, shida...
Habari tena waungwana! Kitambo sana sijaongelea kuhusu filamu. Leo nimerudi tena. Jana nilipata kuitazama filamu ya "Bohemian Rhapsody" iliyotoka mwaka wa 2018. Si ajabu imepata kuuzwa sana hadi...
The Inspirer
When You Fall
A Poem
There are times when
you just feel tired,
tired of trying to fix things,
tired of trying to carry on.
You tried to write that book but it can’t be finished...
Jay-Z na Beyonce ni miongoni mwa watu ambao walibaki wamekaa wakati wimbo wa taifa la Marekani ukiimbwa kwenye ufunguzi wa fainali za #SuperBowl usiku wa kuamkia leo. Tafsiri yake ni kutounga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.