Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwanza natoa pongezi kwa Uongozi wa E-Fm Radio kwa kuwa kumbuka na kuwaamini Wasanii hususani wa Maigizo maarufu kama Bongo Movie kwa kuwa sehemu ya Watangazaji wake, baadhi niliowasikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi hadithi nilihadithiwa na marehemu bibi yangu RIP bibi. Katika kijiji kimoja alitokea kijana hodari sana kwa mawindo. Kijana huyu aliweza kuitunza familia yake vizuri hata baada ya baba yake...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
ANGEL WA DAR SEHEMU YA 01 Nilishtuka kutoka kwenye usingizi uliokuwa unaninyemelea pale kwenye sofa baada ya kusikia mlango ukigongwa, sikuwa nategemea ugeni wowote kwa mchana ule na ukizingatia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja kati ya Rapa hatari USA na ulimwenguni kote ni Drake pia Kendrick Lamar. Drake aliwahi kutamba sana na album kama Views, Scorpion n.k Anafanya vizuri pia kwenye mitandao kama Spotify...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Ni muda muafaka sasa wa haki kutendeka kwaajili ya Han Sinema za Fast & Furious zote ni kuhusu familia lakini kwa Hobbs & Shaw inayomfanya 'Character' ambaye ni 'Villain' wa zamani katika...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Sheria za mtandao nchini zinawataka watengeneza maudhui wote kusajili channels zao TCRA bila kujali ni maudhui gani wanatoa, jambo hili limefanya baadhi ya watu walioendelea...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu za muda huu, kuna series nimeiona kipande chake alipost Millard Ayo inaitwa Ingobernable inaonekana ni series nzuri na worth to watch it ila sasa kila nikiingia kwenye zile torrents...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa app ya ku dawnload movie
0 Reactions
2 Replies
661 Views
Salaam wana jamvi, Matumaini yangu ni kwamba tuwazima tukiendelea kulisukuma gurudumu la maendeleo kujipatia cha kutia midomoni mwetu. Ukiachana na matukio mengi yaliyotokea wiki hii, cha msingi...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu, Mapema mwanzo mwa mwezi January Century Cinemax waliweka bango kwenye page yao ya Instagram kuwa tarehe 31 mwezi huo huo wataonyesha movie ya IP MAN 4, kama mdau wa cinema...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia hii show maarufu ya Big Brother, inayowachukua watu tofauti tofauti kutoka nchi za Afrika kuingia katika mjengo mmoja na mwisho wa siku mtu kuibuka na...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Marvel Fans na DC kidogo Superhero gani zaidi kuliko mwenzie katika hizi picha na kwanini ? 1)Thor Vs Superman 2)Thor Vs Captain Marvel 3)Captain Marvel Vs Wonder Woman 4)Captain Marbel Vs...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
ITN newsreader Alastair Stewart was accused of calling a black Twitter user an "ape" just weeks before announcing his shock resignation from ITV News this evening. The veteran newsreader, 67...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
KIUMBE WA USIKU 01 “Naitwa Joy.. naishi Tandale. Abeeeh! Nina miaka 18,” hiyo ilikuwa ni sauti ya Joy akijibu maswali aliyoulizwa; akiwa katika moja ya vyumba vya gesti maarufu kwa jina la...
3 Reactions
6 Replies
6K Views
MTUNZI: ALLY MBETU 0713646500 Toka nimefika kwa mshikaji wangu Sammy ambaye tulisoma shule moja, baada ya kuandamwa na matatizo yaliyosababishwa na watoto wa kike kiasi kuwa nuksi kila...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Wakuu hope mko poa. Mimi ni mfuatiliaji kiasi wa movies za wenzetu hasa Hollywood & the like. Kinachonishangaza ni kuhusu budget zao, how comes mtu ana Invest up to $1.2 billions then faida...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Fela Anikulapo Kuti, jina lake la kuzaliwa Olufela Olusegun Oludotun Ransome-Kuti; alizaliwa 15 Oktoba 1938 alifariki 2 Agosti 1997) alikuwa mwanamuziki wa Nigeria. Alikuwa anapiga muziki wa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Da hawa jamaa nimependa sana hii song yao inaitwa Melanin, humo kuna ma black beauty hatari, by the way kwanini tz wasanii wetu wanapenda kuweka wanawake weupe kwa video zao. Tofauti na nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yule msanii bora wa hiphop wa muda wote, yaani ninamaanisha yule msanii bora kabisa wa hiphop kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa mbingu na nchi ameachia albamu mpya inayokwenda kwa jina la Music to...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ana kipaji kila mtu anafahamu hilo na akipanda jukwaani watu wanaelewa this is King Kong mtoto wa Ilala anaisimamisha DSM kweli, lakin nyota yake imefifia kwa sasa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom