Wakali wa punchline nani mkali zaidi? (TUPIA MISTARI )

Jan 26, 2020
11
27
Kila napoona biti ipo uchi naikonyeza,
mizuka ikpanda smetimes naibusu naichombeza,
sisubiri gesti hata chocho naibonyeza,
verse kali naulza ukivaaje unapendeza,
Ni vita ila kama hujui usiwake,
yanin rafki ambae hakujui kwnye chake,
uadui mbona mwake,
we hushangai msumari una nchi 6 ila hatumjui RAIS Wake?
 
Unaitwa huku Scars
Sina wasi sina wenge, najua mpaka basi ila sina mbwembwe/

Kuhusu uoga sina hata chembe, naheshimika kwasababu sina mambo ya kisenge/

Sina kikosi wala genge, nachinja peke yangu nikiwa sina mshika pembe/

Binti usinitege, sina huruma ntakuchapa hata kama sina nyege/

Mwanaume wa shoka sina jembe, kichwani na madini ila sina chepe/

Itikadi kali ila sina uchebe, wanasema nawachana japokua sina wembe/
 
Sina wasi sina wenge, najua mpaka basi ila sina mbwembwe/

Kuhusu uoga sina hata chembe, naheshimika kwasababu sina mambo ya kisenge/

Sina kikosi wala genge, nachinja peke yangu nikiwa sina mshika pembe/

Binti usinitege, sina huruma ntakuchapa hata kama sina nyege/

Mwanaume wa shoka sina jembe, kichwani na madini ila sina chepe/

Itikadi kali ila sina uchebe, wanasema nawachana japokua sina wembe/
Woooooi 😂😂😂😂😂 nimefurahi kinoma hizi punch zitabaki kuwa juuuu nasubiria kuwaona wengine wakiomba battle.
 
Kila napoona biti ipo uchi naikonyeza,
mizuka ikpanda smetimes naibusu naichombeza,
sisubiri gesti hata chocho naibonyeza,
verse kali naulza ukivaaje unapendeza,
Ni vita ila kama hujui usiwake,
yanin rafki ambae hakujui kwnye chake,
uadui mbona mwake,
we hushangai msumari una nchi 6 ila hatumjui RAIS Wake?

Huyo kwenye picha hapo ndio wewe mkuu...?
 
wenye chuki za moyon bdo wana kovu,
wanameza sabuni et wanitemee mapovu,
atafutae hachoki hawaoni ni
vipofu,
alienambia ni switch sjui ni ON ama OFF,
i can't rap hii ni trela,
kwa marap flan wanarap wanakela,
scar kama vannesa yule wa kisela,
hela znmalza shida na shda znamalza sana hela.
Scars ndo chata la makovu, atheist pekee mwenye nyota ya wokovu/

Nadondosha tenzi muite maua sama mziokote, kwenye beat navo nata utadhani simenti ya dangote/

Usinichukulie kipimbi huu mchanga usiombe upute, ntakupoteza kwenye beat kisha mniwekee kikao mnisute/

Nina tenzi zilizokomaa kama mgongo wa kuli, so kabla hujanivagaa ebu fanya tafakuri/

It's Scars
 
Shut up broo twende polepole,
Umenisoma broo naomb usininyoshee kidole,
maana kdole huweza ktumika kama nuksi,
kidole cha kati nacho htumika kama tusi,
kidole kina mambo meng bwana mdogo,
meng ya kijinga na kutaja mpaka shobo,
sasa mzee mwenzangu let hoja twende sawa,
weng wanasema kdole kimoja hakivunji chawa,
 
silagi kona,Mi ni simba So sinaga pembe,
Mtaani kwetu mi ni mkali kwenye kata mi ni Wembe,
Fidq ulimi mbili yani kama kenge,
Namimi sio chakula wadau msinitenge,
Sijulikani nakoenda nina matege,
Kama mchezo Wa utotoni niko rede,
Namba moja kwenye game?acha wenge,
Unaongea sana shiti we ni mende?
 
"Na niko haile,kama group la marasi/Mautundu yasiyo jificha kama mtutu wa jambazi/Niko huku toka yanki /dungu mpaka panki/
mi namudu kila mdundo,toka dufu mpaka dansi /mi nina muku kwenye drums,Duke kwenye touch "-One

"Bado nawapa hisia kama kinanda cha kanisa /huu ni msala kama padri ndani ya chumba cha masista /Nawapiga buti,salute kwa Den Texas /Yupi bora ticha wa class au aliye kufundisha sex"-Singasinga.

"Zenu na zetu ni zaidi ya ushuzi na marashi/Trash na upuzi,mi nauza ujuzi na utashi"-Niki mbishi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom