Mwanamuziki gani unaweza kumpa nafasi ya kwanza Tanzania kwa live performance

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Genre yeyote.
Style yoyote.
Gender yeyote.
Ila tu akiwa stejin bila kutumia Cd atafanya vizuri,.

Vyombo vipigwe live hapohapo
 
Waimbaji wengi wa gospel wanafanya vizuri sana John lisu Paul clement Eliya mwantondo Gwamaka nk wa secular wapo pia mfano Barnaba Ben pol Vanessa mdee nk sema wa secular wengi mpaka waboost kwa cha arusha au nyagi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sor ntaek zaid y mmoj mana nmeshindw mpa nan de best

Barnaba
Christian bella
Ali kiba
Aslay
Rayvanny


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanaoweza live performance kwa kiwango cha watu kuridhika ni waimbaji wa gospel wakiwemo Paul Clement ,Dr Ipyana,Joel Lwaga,Gwamaka Mwakalinga,vijana kijitonyama,Elia mwantondo,John Lissu,Angel Benard,Jesca Honore nk hawa jamaa kiwango kipo juu mpaka wanarecord live CD kwenye show zao ,wanamziki wetu tunaowapenda kusanya wote hawajafika hapa sio kina Bella ,Ruby ,Nandy ,jide ,Barnaba, etc kiufupi wanajitahidi ila wamezidiwa mbali na waimba gospel na wakongo
 
Back
Top Bottom