Diamond Platnumz 'Chibu Evara' amefikisha views 1M ndani ya saa 14

Diamond Platnumz 'Chibu Evara' amefikisha views 1M ndani ya saa 14

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,391
Reaction score
4,145
Ni wimbo aliouachia akiwa na Tanasha Donna, ndani ya saa14 umefikisha view 1M

Huku na huku nilijua diamond ameenda kuangukia pua rakini ukweli ni kwamba kijana bado anakimbiza anazidi kuvunja rekodi
Screenshot_2020-02-20-11-06-15.jpeg

Tanasha donna ni msanii wa kike ambae nyimbo zake huandika mwenyewe hii ni tofauti na wasani wa kike wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes,diamond platnumz,most of his tracks huwa na maisha mafupi compare to alikiba's tracks
Wiki moja tu ushasahaulika.

Siku domo akitoa wimbo wa kudumu (wake au wa kushirikishwa)nitamsifia sio hizi za utamu wa jojo dakika tu zishaisha utamu,ladha na kila kitu

#Haterkazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wake hawaelewi hiki. Utaitwa hater tu. Na kipindi hiki domo anatumika kumpaisha tanasha kimuziki(sio mbaya ila ajifikirie,wimbo unatakiwa kuwa na ladha). Hizo mbio za you tube wanaozikimbia ni mashabiki wa domo sio wa tanasha
Yes,diamond platnumz,most of his tracks huwa na maisha mafupi compare to alikiba's tracks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom