Umeambiwa za Kizungu!Bila shaka humjui Iko Uwais
Scott anamdu mapigano yote unayoyajua wewe, iwe vita, ndondi, kareti, kongufu nkUlishakutana na Jason Bourne ?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
wazee wamapesa hiyo hatariNipo nacheki movie yake ya dept collectors muda huu
Huyo aingii hata nusu ya Scott Adkins ebu mfuatilie ndo utajua Scott Adkins ni Nani?
Kwenye Ip man 4 ya Donnie yen Scott Adkins yupo Tena kacheza Kama adui angalie ule mkono aliouchapa dhidi ya Donnie yenNlitaka kumtaja Tony Jaa na donnie yen nikakumbuka sio wazungu
Jason ni mkali pia, lakini movie zake nyingi huwa kama za upande mmoja nikimaanisha huwa hapati misuksuko mikubwa, yaani yeye sehemu kubwa ni mbondaji hasa, Ila Adkins, misukosuko anayopata ni mikubwa na come back yake ni hatari pia.
Yule ni mzuri tuu kwa fatality za round kickJason ni mkali pia, lakini movie zake nyingi huwa kama za upande mmoja nikimaanisha huwa hapati misuksuko mikubwa, yaani yeye sehemu kubwa ni mbondaji hasa, Ila Adkins, misukosuko anayopata ni mikubwa na come back yake ni hatari pia.
Nmeiona jamaa wako vizuri... The racist AdkinsKwenye Ip man 4 ya Donnie yen Scott Adkins yupo Tena kacheza Kama adui angalie ule mkono aliouchapa dhidi ya Donnie yen
Mkuu Una mawazo kama yangu.Kiukwel kwenye filamu za kizungu sijaona mtu anayetisha Kama Scott Adkins kwenye mapigano.Huyu jamaa namkubali ile mbaya ukitaka kumjua vizuri mwangalie kwenye avengement, incident man.Ninja: shadow of a tear na nyingine nyingi.
Alitipika vibaya sana scottKwenye Ip man 4 ya Donnie yen Scott Adkins yupo Tena kacheza Kama adui angalie ule mkono aliouchapa dhidi ya Donnie yen
Ulishakutana na Jason Bourne ?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo