Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Mimi sio mpenzi sana wa Singeli, maana najuaga tu ni makelele, hamna cha maana. Nawasiiliza sana Eminem, Pink, Sia, Jay Z na wengineo wakali kama Barnaba Classic!
Ila baada ya kusikiliza leo kwenye redio ya jirani anaipiga ngoma ya 'Msaga Poison' inaitwa MAMA WA KAMBO na WANANIOGOPA nimegundua huyu jamaa ni hatari. Singeli yake imekaa kiujumbe zaidi, melody kali sana. Jamaa nimemuelewa kwa ngoma zake hizi aisee ziko [emoji91] [emoji91]
'Msaga Posion' the KING of SINGELI.
Sent using Jamii Forums mobile app