Hawa wadada wamekumbwa na nini?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
1. JOLIE (Haimaanishi)
2. KELLAH (Ukinimiss)
3. RINI MARII (Salaam)



Hawa wadada naona walianza vizuri sana career yao ya muziki, ni vipaji halisi but what happened then? Mbona wako kimya? Wamekata tamaa? Walitegemea mafanikio ya haraka ama wamekosa menejiment?
 
Mapenzi yanawaharibia sana wadada kwenye tasnia ya mziki ni rahisi stress kumrudisha nyuma moja kwa moja
 
Kuna dogo mmoja instagrm anajita instagram king mmanarekani anazingua huyo alikuwa jera juzi kati hapa aisee kweli mziki uko kasi sana halooo..

121.
 
Miyeyusho sana uyu janja dah ila wanamkubali watu

121.
Ametoa ngoma haieleweki halafu analalamika kwanini Billboard hawajakuweka namba 1 kwenye chati zao, wakati mi nipo nashangaa hata hiyo namba 3 kafikaje. Sema mi nampongeza kwa jambo moja, alipohukumiwa kwenda jela mvua nyingi watu wengi ikiwemo wasanii wenzake walishangilia na kusema ndo basi tena kwisha habari yake, sasa ametoka na kuwaprove watu wrong, amekuwa wamoto zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom