BASATA ipitie mikataba ya video Vixens upya

BASATA ipitie mikataba ya video Vixens upya

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,950
Wakina dada hawa wamekuwa wakipendezesha videos na kuwa na mvuto lakini sidhani kama wanapata maslahi ya kueleweka zaidi ya umaarufu.

Nadhani ni kazi ambayo ni ya gharama hasa kuwekeza kwenye muonekano na pia jamii kuwachukulia kama mara ya BASATA iwaangalie hawa.

Screenshot_20200526-090213_YouTube~2.jpeg
 
Watu wako biasharani wewe,mfano ngoma ikapata youtube ikawa na view 1M wote hao wamemuona huo video queen,bado kwenye tv,mapedeshee na mapapaa wanapanda bei,hizo nafasi zinatafutwa kwa uvumba hata mavai wanajigharamia,anaambiwa inatakiwa nguo ya aina fulani,mjini shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio mikataba suala ni kwamba wao wenyewe WANAJIELEWA? au WANAELEWA NAFASI YAO katika Sanaa?
Wao wanachojali ni kupata umaarufu tu hata wakidhalilika kwao sio ishu(kwa madai yako lakini)
 
Watu wako biasharani wewe,mfano ngoma ikapata youtube ikawa na view 1M wote hao wamemuona huo video queen,bado kwenye tv,mapedeshee na mapapaa wanapanda bei,hizo nafasi zinatafutwa kwa uvumba hata mavai wanajigharamia,anaambiwa inatakiwa nguo ya aina fulani,mjini shule

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo umenena Mkuu
Ukweli mtupu
 
Mbona umemuweka huyo wa jeje ya mondi kama reference...Naona unawabip unataka wakupigie.
 
Back
Top Bottom