Natafuta nyimbo hizi..

Natafuta nyimbo hizi..

Breaking bad

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,464
Reaction score
3,495
Jamani mwenye nyimbo hizo anisaidie nilizisikia maeneo ya NJOMBE. Nimetafuta kila web hata Youtube hakuna.

Amekufunga inaanza hivi
"Kwa nini ufie dhambini,
wakati neema ipo,
Yesu katoa msamaha kwa wote wenye dhambi.

Shukran wakuu.
 
Back
Top Bottom