Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau hebu huu uzi tukumbushane bendi na nyimbo za zamani mimi.naanza na.Ngarula karubandika usimchezee chatu.kata.maji ukweni hizi maquise de zaire Mesenja kaleta balaa hii bima lee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya. Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Accapela from Don Nalimison.
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Habarini wapenda misifa , Kwema huko ? Oya asubui hii nimetoka kula morning glory sasa wakati na perform morning glory ebana hehe , Nimepata wazo moja sijui jamaa anaweza lipata kweli Wazo ndo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
When I was a Gospel Singer in 2014 I delivered an Albam "Agano Jipya" with my former name "Mwl. Deo Kisandu". Now I become aware that Jesus Christ is not God and I introduced new religion(ANGELISH...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KUHUSU MOYO WAKO BY: Mfalme Hadithi Moyo huwa unadunda kwa nyendo tofauti kwa hali tofauti tofauti (different Apparitional) Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti. (1) UKIWA NA...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
CHAGUO LA MOYO WANGU 18+ - 01 Ilikua ni asubuhi siku ya jumatatu ambapo watu mbalimbali walikua wakiendelea na mihangaiko yao ya kila siku ili kujitafutia riziki katika mji mdogo wa zingawe...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Leo nimeona nije tufahamishane juu ya maproducer wetu wa Tanzania Nani mkali ni nyimbo gani a lido site genes a ukazipenda bila kujali zilikua hot au lah! Mimi producer wangu wa muda wote nampa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Mtunzi: R. Michaelray JF member Mapaa ya nyumba yanaonekana. Mchukua kamera ambaye yupo kwenye ndege anaendela kufanya kazi yake vyema. Moja kwa moja Picha inaonyesha Benki Fulani ambayo watu...
1 Reactions
10 Replies
88K Views
Sijui alikuwa na lengo gani huyu mwamba, au lengo ilikuwa kumpoteza kabisa bwa mdogo chibu! Na kwa kweli alifanikiwa.
0 Reactions
3 Replies
721 Views
Najua naweza kuwa against na watu wachache ila huyu jamaa ni ghost writer never seen.👹👹👹 Jamaa yupo deep sana kwenye mashairi yake, na hata utunzi wake sijaona kama yeye 👽👽👽 Pia ni King of...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Samahani HII SMS INA HADITHI MAFUNDISHO KWAAJILI YA JAMII MNISAMEE KAMA ITA WAKWAZA KWA UFUPI *PALE MAITI INAPOKUWA NI BORA KULIKO MGONJWA* Mazungumzo baina ya Mabwana Sambi na Sembela ambao ni...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Sisifii siffii na sipendi mm ni mkazi jiji DSM. Hupenda kutoka mtoko Kama kawaida ya Sana ukiwa DSM. Nimetembea nimelala,nimezunguka miji hakuna pub kama hii. Kiukweli DJ ndio ananisuuza zaidi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
By Sangu Joseph Njia ya kuanguka kimuziki ya Vanessa Mdee nadhani inafaa kuwa fundisho Sana kwa Wasanii wakike nchini lakini Kwa Leo naomba niidedicate Kwa Nandy zaidi. Inawezekana mkaniona wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mtafika mbali sana kimataifa Kama mtaukumbatia na kuwekeza zaidi huku kuliko kwenye Hip Hop na mingine ya kigeni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niko namsikiliza Diva, story zote anatoa hapa hapa JF, kumbe JF ni Jukwaa la Great Thinkers. Kongole kwa waanzilishi na wana JF wote
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Umuofia kwenu, Wakuu nadhani hali kama hii hutokea. Unaweza ukakuta wimbo unaupenda sana sema ndani ya mashairi yake kuna msitari mmoja tu huwa unakuweka "off". Binafsi wimbo as Dogo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa shabiki wa mwimbaji wa muziki wa injili nchini Tanzania Bahati Bukuku, lakini sijawahi kukubali collabo ambazo amekuwa akifanya na wanamuziki wengine. Lakini hii collabo yake na msanii...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong. Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom