Kwa hapa Tanzania sijaona msanii wa Hip Hop mwenye uandishi hatari kama Nikki Mbishi Zohan

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,332
2,000
Najua naweza kuwa against na watu wachache ila huyu jamaa ni ghost writer never seen.πŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘Ή

Jamaa yupo deep sana kwenye mashairi yake, na hata utunzi wake sijaona kama yeye πŸ‘½πŸ‘½πŸ‘½

Pia ni King of interview huyu jamaa unaweza sema Yale majibu kwenye interview anasoma sehemu then anajibuπŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„

Joh Makini uandishi wake pia ni mzuri sana.
πŸ’€πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Alisina

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
3,741
2,000
Naunga Mkonyo hoja...Naunga oja Mkonyo...

Tunabuni mbinu,,Tunambuni binu..

Baba Malcolm..Nyakati za Mashaka na kukosa imani ni rahisi
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
10,144
2,000
Najua naweza kuwa against na watu wachache ila huyu jamaa ni ghost writer never seen.πŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘Ή

Jamaa yupo deep sana kwenye mashairi yake, na hata utunzi wake sijaona kama yeye πŸ‘½πŸ‘½πŸ‘½

Pia ni King of interview huyu jamaa unaweza sema Yale majibu kwenye interview anasoma sehemu then anajibuπŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„

Joh Makini uandishi wake pia ni mzuri sana.
πŸ’€πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Jina lako na akili yako vinafanana
 
Dreadnought

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,758
2,000
M

Mkuu siyo kwamba we ndo huelewi?
Naelewa vizuri mkuu, hao wanamuziki wa kurap siku ndo style yao ndo hiyo. Sikiliza vizuri hayo mashairi kuna vina ila maana hakuna.

Halafu sikiliza mistari kama ya prof Jay kuna vina na maana ipo.
 
Kelevra

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
1,057
2,000
Naelewa vizuri mkuu, hao wanamuziki wa kurap siku ndo style yao ndo hiyo. Sikiliza vizuri hayo mashairi kuna vina ila maana hakuna.

Halafu sikiliza mistari kama ya prof Jay kuna vina na maana ipo.
Kweli kabisa kusiwe na maana ya kihivyo lakini Muziki ni Sanaa na Sanaa ina mambo mengi sana kwa mfano kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa "words play" na Mara nyingi zinakua ni punch lines za kukufikilisha tu na kuonyesha uwezo wa msanii kucheza na maneno tofauti kueleza maana tofauti Mfano ;
Nikki kwenye kila siku anaimba "Nazibiti kama X na kisha na Multiply"
Akiwa na maana alama X inatumika kwenye kudhibiti mfano umejenga sehemu siyo unawekewa alama ya X...vilevile alama X inatumika kama alama ya kuzidisha(multiplication).
Lakini pia hapa amemtaja msanii X -Zibit wa marekani ambaye ana wimbo unaitwa multiply kwenye line hiyohiyo moja.
Kuhusu zibiti kutumika kama dhibiti inaruhusiwa kwenye uandishi unapoataka kufikisha ujumbe.
Mstari huu usipoulewa ni nonsense lakini ukiulewa utafurahia Kazi ya Sanaa.
Prof J anarap kumlenga kila Mtu lakini kunabaadhi ya mashahiri ya wasanii huwa siyo kwaajili ya kila Mtu...ndo mana nikakuuliza hill swali...Furahia Kazi ya Sanaa mkuu vijana wapo vizuri
 
Unaonekana uko vizuri sana kwenye hayo mambo mkuu, Labda tuseme ni sanaa tu katika huo muziki ndo maana wanfanya hivyo hapo nakuelewa.

Lakini muziki kama burudani sidhan kama kuna ulazima kuwe mafumbo kama biblia kuelewa mpaka utumie akili nyingi
 
kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,332
2,000
Unaonekana uko vizuri sana kwenye hayo mambo mkuu, Labda tuseme ni sanaa tu katika huo muziki ndo maana wanfanya hivyo hapo nakuelewa.

Lakini muziki kama burudani sidhan kama kuna ulazima kuwe mafumbo kama biblia kuelewa mpaka utumie akili nyingi
nadhani wanajaribu kuonyesha utofauti wa kiuandishi na wasanii wengine wa kawaida
 
chlorine gas

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,967
2,000
Kweli kabisa kusiwe na maana ya kihivyo lakini Muziki ni Sanaa na Sanaa ina mambo mengi sana kwa mfano kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa "words play" na Mara nyingi zinakua ni punch lines za kukufikilisha tu na kuonyesha uwezo wa msanii kucheza na maneno tofauti kueleza maana tofauti Mfano ;
Nikki kwenye kila siku anaimba "Nazibiti kama X na kisha na Multiply"
Akiwa na maana alama X inatumika kwenye kudhibiti mfano umejenga sehemu siyo unawekewa alama ya X...vilevile alama X inatumika kama alama ya kuzidisha(multiplication).
Lakini pia hapa amemtaja msanii X -Zibit wa marekani ambaye ana wimbo unaitwa multiply kwenye line hiyohiyo moja.
Kuhusu zibiti kutumika kama dhibiti inaruhusiwa kwenye uandishi unapoataka kufikisha ujumbe.
Mstari huu usipoulewa ni nonsense lakini ukiulewa utafurahia Kazi ya Sanaa.
Prof J anarap kumlenga kila Mtu lakini kunabaadhi ya mashahiri ya wasanii huwa siyo kwaajili ya kila Mtu...ndo mana nikakuuliza hill swali...Furahia Kazi ya Sanaa mkuu vijana wapo vizuri
Nce
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom