curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Leo nimeona nije tufahamishane juu ya maproducer wetu wa Tanzania
Nani mkali ni nyimbo gani a lido site genes a ukazipenda bila kujali zilikua hot au lah!
Mimi producer wangu wa muda wote nampa R.I.P Genius Pancho Latino mafia
Kupitia nyimbo alizozitengeneza nyingi tu
Mfano hiyo album ya Abby jewels jamaa alitengeneza beat mpaka ukisikiliza unafrahi mpaka Nahreel alikiri kua Pancho alikua genius kweli
Sikiliza nyimbo za district 9ine chini ya Pancho Latino ,Dash lun, R.I.p Godzilla pale kati hakika Pancho ni mkali mpaka Leo,.
Nawe nipe producer wako mkali.